Kila ninayemtongoza ana mtu

...... chuo sio sehemu ya kupalilia mapenzi dogo.... kumbuka hyo ndo last chance uliyonayo ili kusahihisha makosa yako ya nyuma......
.... thamani ya huu muda hutoiona sasa hivi mpaka utakapomaliza na kuanza kuhangaika na bahasha za khaki posta wakati wenzio wamepewa mkataba kabla hata ya mtihani wa mwisho...
.......... MAY GOD BLESS YOU.....
 
Kama begi mgongoni n mlo mmoja basi wana mtu

Weka pesa mingi uoneee
 
Mwaka wa kwanza,hivi unajua kwel maana ya supp,carry,na kudisco. Ndo nyie mnaochunwa mpaka huruma,mnapangwa folen ndefu yenye zamu.
 
mtu ninaye sema yuko mbali.Kwahyo kuna njia maalumu ya kuwatongoza Hawa viumbe au
Njia sahihi ni matumizi ya pesa mana hapo hutafuti mpenzi bali ni mtu wa kumaliza haja zako so ni lazima ugharamike

Kumbuka mjini hakuna vya bure
 
Tatizo hauna Utundu wa Kuongea na Msichana

Hayo mambo ya muonekano mzuri waache hao hao unaowatongoza

Mwanamke anadanganywa na masikio yake.. Mpe maneno matamu..

We hujawahi kuona mtu ana sura mbovu lakini mademu wanampendaa.. watu wa namna hiyo huwa ni wacheshi, wanajichanganya na watu mbalimbali bila ubaguzi, hawana makuu kwa ujumla, pia huwa ni wakarimu sana.. hapo mademu huwa wanajileta wenyewe tu..halafu waswahili waanza kusema jamaa anatumia Ndumba.

Cha Msingi Badilika uwe kama hao wenye sura mbaya ila mademu wanamuona ni HB
 
Duh, halafu mtu kama huyu miaka ya baadae atakuja kusema kakosa ajira! sasa kama msichana tu unashindwa kumtongoza, utaweza kutongoza Interviewers Panel ya watu kama 10 ili wakubali kukupa kazi/ajira? KWELI, HAMNAZO KABISAAAA JUU LABDA CHINI!
 
nipe mbinu mkuu
 
sio kama nashindwa kutongoza ila wana watu
 
Njia sahihi ni matumizi ya pesa mana hapo hutafuti mpenzi bali ni mtu wa kumaliza haja zako so ni lazima ugharamike

Kumbuka mjini hakuna vya bure
ni kweli mkuu ila lazima wakubali kwanza
 
Mwaka wa kwanza,hivi unajua kwel maana ya supp,carry,na kudisco. Ndo nyie mnaochunwa mpaka huruma,mnapangwa folen ndefu yenye zamu.
mkuu sio kila unayemuona anapost mambo ya kimapenzi basi hajiwezi darasani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…