Kila ninayemtongoza ana mtu

Wanakuzuga tu,lakini wakikomaa kaa kivyako fata masomo,ukizidiwa ingia town kati,daka wa dakika tatu ili usije pata ugonjwa wa mfadhaiko, then sepa kajisomee.
 
Ukiona hivyo na wewe unaye ila unataka kuongeza idadi... si unajuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume..!!
 
Dem wa chuo hatongozwi, we mwambie aje akutemberee akikubali tu unamaliza,,, utamaliza mpaka mwaka wa 3 patupu ukitegemea kutongoza
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
DOGO KUNA NJIA MBILI RAHISI SANA ZA KUWAPATA HAO WAREMBO..
1. vunja bank uchukue ma-pesa watakua single...
2. piga mazoezi mazito kifua kitanuke uwe jitu la miraba minne, baada ya hapo kila mahali unapotembea ukiwaona hao wanawake vua chati ubaki kifua wazi, au vaa ka-wash watakupenda wenyewe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…