black chinese
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 1,148
- 1,229
Upande ulipo sayari ya venus..Baada ya Yesu kupaa alielekea wapi .....?
Upande ulipo sayari ya venus..Baada ya Yesu kupaa alielekea wapi .....?
Mbinguni mkuu. Nawaza sanaUmewaza nini mkuu?
Umeshakubali humjui huyo Mungu unayemuamini. Hujui sababu zake za kuchagua ubaya badala ya uzuri.Upo sahihi kuamini mungu hayupo.Na ni haki yako.Mimi nina amini yupo.Tukubaliane kutokubaliana katika hilo.
Mungu alikuwa na maana yake kuweka kifo.Mimi na wewe hatuwezi kujua alikuwa ana maana gani na mimi na wewe wote tutakufa na kuoza na tutamuacha Mungu.Na haya malumbano kati yangu mimi na wewe juu ya uwepo wa Mungu ni dalili kuwa siku zetu za uwepo hapa duniani zimeshapungua sana.
Kibiblia tunaambiwa Adam na Hawa hawakutakiwa kufa.Walikuwa wanakula mimea na hakuna mnyama yoyote aliyekufa.Mungu akawapa utashi Adam na Hawa na akawakanya wasile tunda lililokatazwa.Adam na Hawa wakamkaidi Mungu wakala tunda.Mungu akakasirika akawapa kifo.Hivyo kifo kibiblia ni sehemu ya uumbaji na imetokana na dhambi ya wazazi wetu wa mwanzo.
Adam, Eve and all the animals were created to eat only vegetation ( Genesis 1:29-30). Nothing died prior to the spiritual fall of Adam and Eve (Genesis 3:19 and 3:21).
Sayansi pia inakubali kuwa kifo ni sehemu ya uumbaji.Sayansi inasema kifo kimeweza kubadilisha viumbe mbalimbali viweze kuendana na ugumu wa mazingira yao yaani evolution through natural selection and survival of fittest.Kwa mtizamo wa kibinadamu kifo kinaweza kuwa ni kibaya ila kisayansi kifo kimeweza kumbadilisha binadamu kutokuwa kuwa kama nyani akitumia zana za mawe mpaka leo ameweza kurusha chombo kwenda sayari ya mars na kurudi.
Kwa kifupi biblia na sayansi vyote vinaonyesha kifo ni sehemu ya uumbaji wa Mungu na sababu za uwepo wa kifo katika uumbaji.
You are becomming too illogical.Arguing for the sake of endless and non educative arguing is childish.Umeshakubali humjui huyo Mungu unayemuamini. Hujui sababu zake za kuchagua ubaya badala ya uzuri.
Kwa sababu hujui hilo, humjui.
Na kama humjui, unajuaje kwamba imani yako kwamba yupo ni sahihi?
Unajuaje imani hiyo nibya kweli na si ya uongo tu?
You are illogical. You believe in a self contradicting construct as being true.You are becomming too illogical.Arguing for the sake of endless and non educative arguing is childish.
I am a theist and you are an atheist.Period.
Alielekea mbinguni kwa Baba yake kutuandalia makao na atakuja tena kutuchukua (ila wale wenye kustahili).Baada ya Yesu kupaa alielekea wapi .....?
G-genaratorHe is the creator of the Universe.He is alpha and omega.
Bible ni kitabu cha kukopiwa na kinapotosha mno,usinishangae tafiti ndipo unirudie.Upo sahihi kuamini mungu hayupo.Na ni haki yako.Mimi nina amini yupo.Tukubaliane kutokubaliana katika hilo.
Mungu alikuwa na maana yake kuweka kifo.Mimi na wewe hatuwezi kujua alikuwa ana maana gani na mimi na wewe wote tutakufa na kuoza na tutamuacha Mungu.Na haya malumbano kati yangu mimi na wewe juu ya uwepo wa Mungu ni dalili kuwa siku zetu za uwepo hapa duniani zimeshapungua sana.
Kibiblia tunaambiwa Adam na Hawa hawakutakiwa kufa.Walikuwa wanakula mimea na hakuna mnyama yoyote aliyekufa.Mungu akawapa utashi Adam na Hawa na akawakanya wasile tunda lililokatazwa.Adam na Hawa wakamkaidi Mungu wakala tunda.Mungu akakasirika akawapa kifo.Hivyo kifo kibiblia ni sehemu ya uumbaji na imetokana na dhambi ya wazazi wetu wa mwanzo.
Adam, Eve and all the animals were created to eat only vegetation ( Genesis 1:29-30). Nothing died prior to the spiritual fall of Adam and Eve (Genesis 3:19 and 3:21).
Sayansi pia inakubali kuwa kifo ni sehemu ya uumbaji.Sayansi inasema kifo kimeweza kubadilisha viumbe mbalimbali viweze kuendana na ugumu wa mazingira yao yaani evolution through natural selection and survival of fittest.Kwa mtizamo wa kibinadamu kifo kinaweza kuwa ni kibaya ila kisayansi kifo kimeweza kumbadilisha binadamu kutokuwa kuwa kama nyani akitumia zana za mawe mpaka leo ameweza kurusha chombo kwenda sayari ya mars na kurudi.
Kwa kifupi biblia na sayansi vyote vinaonyesha kifo ni sehemu ya uumbaji wa Mungu na sababu za uwepo wa kifo katika uumbaji.
Amna mbingu ni uongo ule.Kwa tunaotaka kuiona hiyo mbingu tutende mema na kwa ukamilifu ili siku ilifika tufike huko. Tofauti na hapo tutaishia jehenamu ktk ule moto wa milele.
Amna mbingu wala yesu hakupaaAlielekea mbinguni kwa Baba yake kutuandalia makao na atakuja tena kutuchukua (ila wale wenye kustahili).
Huenda wewe ni muislam na hayo ni maoni yako binafsi.Bible ni kitabu cha kukopiwa na kinapotosha mno,usinishangae tafiti ndipo unirudie.
Huenda wewe ni muislam na hayo ni maoni yako binafsi.
Sidhani kama ni muislamu.Amna mbingu wala yesu hakupaa
Sina hata iyo chembe ya uislam mkuu.Huenda wewe ni muislam na hayo ni maoni yako binafsi.
Basi sawa ustadhi.Sina hata iyo chembe ya uislam mkuu.