Tatizoukishaanza kuhusisha imani, utaamini chochote kile.![]()
kwa udogo wa dunia ukilinganisha na eneo ambalo tunaamini utakutana na mbingu popote ulipo duniani bado mbinguni ni juu. na ndivyo tunavyoambiwa na vitabu vya imani.
maana kwa sababu aliyesema mbinguni ni juu anajua dimension ya mbingu kwa kulinganisha na dunia na universe yote. ambapo kulinganisha dimensions za dunia na kipenyo cha universe ni sawa na kulinganisha bwawa la kidatu na ukubwa wa bahari zote za duniani hapo bado mbinguni hujafika
sasa ujuzi uko limited...Tatizoukishaanza kuhusisha imani, utaamini chochote kile.
Tuongelee ujuzi zaidi.
Amwachie nani?Mambo yaliyo sirini ni ya BWANA MUNGU wetu na yaliyo funuliwa ni yetu sisi na watoto wetu,tafakari demi wako hayo yaache
Kama binadamu wote wangekuwa na fikra kama zako basi dunia ya Leo kusingekuwa na Maendeleo ,Mambo yaliyo sirini ni ya BWANA MUNGU wetu na yaliyo funuliwa ni yetu sisi na watoto wetu,tafakari demi wako hayo yaache
Na huyapeleka makisio hayo kwenye kunolewa zaidi ili yaende kwenye ukweli.sasa ujuzi uko limited...
ndio maana hata wajuzi huanza na makisio au assumptions.
Umejibu vyema mkuuNa huyapeleka makisio hayo kwenye kunolewa zaidi ili yaende kwenye ukweli.
Tatizo langu si assumption. Tatizo ni, hizo assumptions zinarejewa na kuangaliwa kama zina makosa?
Mtu anakwambia habari ambayo ina inherrent contradiction kabisa, halafu unaiamini kama ukweli.
1. Mungu ana uwezo wote, ujuzi wote, upendo wote.
2. Hivyo, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya yoyote, mabaya yoyote hayawezekani
3. Kwa sababu uwezo wa kuumba hivyo alikuwa nao, ujuzi wa kuumba hivyo alikuwa nao na upendo wa kuumba hivyoalikuwa nao, kwa nini hakuumba hivyo?
Kwa nini Mungu hakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Bila ya kujibu swali hili kwa sababu za kueleweka, habari nyingine zote za huyu Mungu ni suspect, zinaweza kusemwa kwamba ni za kutungwa na watu, na huyu Mungu hayupo.
Maana dhana ya kuwepokwake ina a big logical flaw.
kwenye sayansi pia kuna vitu vingi ambavyo vinaitwa kwa jina la assumption lakini ni Imani hiyohiyo unayoipinga.Na huyapeleka makisio hayo kwenye kunolewa zaidi ili yaende kwenye ukweli.
Tatizo langu si assumption. Tatizo ni, hizo assumptions zinarejewa na kuangaliwa kama zina makosa?
Mtu anakwambia habari ambayo ina inherrent contradiction kabisa, halafu unaiamini kama ukweli.
1. Mungu ana uwezo wote, ujuzi wote, upendo wote.
2. Hivyo, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya yoyote, mabaya yoyote hayawezekani
3. Kwa sababu uwezo wa kuumba hivyo alikuwa nao, ujuzi wa kuumba hivyo alikuwa nao na upendo wa kuumba hivyoalikuwa nao, kwa nini hakuumba hivyo?
Kwa nini Mungu hakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Bila ya kujibu swali hili kwa sababu za kueleweka, habari nyingine zote za huyu Mungu ni suspect, zinaweza kusemwa kwamba ni za kutungwa na watu, na huyu Mungu hayupo.
Maana dhana ya kuwepokwake ina a big logical flaw.
assumptions nyingi ni za uongo kuliko hata ukweli tunaoupekea kwa njia ya imani.Na huyapeleka makisio hayo kwenye kunolewa zaidi ili yaende kwenye ukweli.
Tatizo langu si assumption. Tatizo ni, hizo assumptions zinarejewa na kuangaliwa kama zina makosa?
Mtu anakwambia habari ambayo ina inherrent contradiction kabisa, halafu unaiamini kama ukweli.
1. Mungu ana uwezo wote, ujuzi wote, upendo wote.
2. Hivyo, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya yoyote, mabaya yoyote hayawezekani
3. Kwa sababu uwezo wa kuumba hivyo alikuwa nao, ujuzi wa kuumba hivyo alikuwa nao na upendo wa kuumba hivyoalikuwa nao, kwa nini hakuumba hivyo?
Kwa nini Mungu hakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Bila ya kujibu swali hili kwa sababu za kueleweka, habari nyingine zote za huyu Mungu ni suspect, zinaweza kusemwa kwamba ni za kutungwa na watu, na huyu Mungu hayupo.
Maana dhana ya kuwepokwake ina a big logical flaw.
Wapi nimepinga assumption? Hivi unaelewa nilichoandika?kwenye sayansi pia kuna vitu vingi ambavyo vinaitwa kwa jina la assumption lakini ni Imani hiyohiyo unayoipinga.
1:Miongoni mwa uwezo wake wote ni wa hayo unayoyaona yanakinzana. tatizo hayo ni matokeo ya finite mind yako.
2:Katika assumption zetu za kiimani ambazo zinakubalika na baadhi ya wanasayansi baada ya kusikia sauti zisizoeleweka lkn zinampangilio huko angani, kuna uwezekano haya unayoyaona duniani kuna sayari nyingine katika matrillioni ya sayari kuna viumbe perfect ambao wanacompy na logics zako. Mungu sio muoga hata aogope kuumba kiumbe chenye uwezo wa kuchagua cha kufanya. aliumba hivyo huku akiwa na plan B ya kumkomboa kupitia yesu kama akichagua lkn.
amedhihilisha hilo kwa kutokutuumba kama maroboti
hii imethibitishia viumbe vingine mbinguni na kwenye masayari mengine kuwa maamuzi aliyofanya ni sahihi na ni beyond your simple and illogical logics.
Assumption ikiwa ya uongo utaijua vipi kwamba hii ni ya uongo?assumptions nyingi ni za uongo kuliko hata ukweli tunaoupekea kwa njia ya imani.
haithibitiki kwa viwango na vigezo vya mtoa assumption anavyoamini.Assumption ikiwa ya uongo utaijua vipi kwamba hii ni ya uongo?
Nikikwambia imani ya kuwepo Mungu ni mfano mmoja wa imani ya uongo ambayo haithibitishiki utakubali?haithibitiki kwa viwango na vigezo vya mtoa assumption anavyoamini.
mifano ipo mingi.
Ni bora ukaamini ili siku ya mwisho ata ikitokea yesu hayupo utakuwa haina cha kupoteza kuliko kutokuamini na mwisho ukakutana nae.Halafu hivi huyu Yesu ni nani alimuona akipaa, au nani ana uthibitisho ya kuwa alitumwa kutuokoa, maana kama ndivo basi haina haja ya kwenda kuabudu maana tunasubiri tuu ukombozi wa Bwana Yesu.
Hata nikikutana naye nina maswali mengi sana ya kumuulizaNi bora ukaamini ili siku ya mwisho ata ikitokea yesu hayupo utakuwa haina cha kupoteza kuliko kutokuamini na mwisho ukakutana nae.
imani ni bayana ya mambo yasiyoonekana. uhalisia wa visivyoonekana...Nikikwambia imani ya kuwepo Mungu ni mfano mmoja wa imani ya uongo ambayo haithibitishiki utakubali?