Kila nilipompuuzia ndio alijileta/rahisisha

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,683
Reaction score
14,066
Naam ni enzi za ujana katika harakati za kutafuta maisha nilikuwa katika kipindi cha hali ngumu na kujitafutia kazi halali za kujiingizia kipato hasa kujichanganya katika vibarua vya ujenzi mambo ya ufundi garage na jioni kuchoma mahindi katika njia panda fulani.

Ni ndani ya jiji la Dar el salaam katika njia panda hiyo kuna kituo cha daladala ambapo mida ya jioni raia wengi hushuka kuelekea majumbani mwao.

Kwa kifupi kuna mama mmoja mtu mzima (kwa sasa wanajulikana kwa jina la Mushangazi),,,kila anaporudi kazini hupita katika kijiwe changu na kujipatia muhindi wa kuchoma.

Naam siku moja nikajaribu kurusha ndoano kiutani lakini akawa mkali kiaina na kunivunja moyo.

Kutokana na muonekano wangu; na hali yangu ya kimaisha nikaona kweli ni kujipotezea muda basi nikampotezea na kuendelea na maisha na mishe mishe zangu,

Pamoja na kunitolea nje hakuacha kuwa mteja wangu na mimi nikawa namhudumia kwa heshima tu na kamwe sikuthubutu tena kurusha ndoano.

Sasa sina uhakika kama kule kunitolea nje ilikuwa ni utani au alikuwa anapima urefu wa maji kwa miguu; swali hili niljiuliza baada ya kumaliza raundi ya kwanza nikiwa bafuni nabadilisha mpira wa kiume.

Baadae sana ndipo nikapata elimu kwamba alikuwa na tatizo la Emotional Suppression pamoja na Cognitive Dissonance.

Kwa hiyo hawa viumbe ukiona anakuwa mkali sana kwamba hakutaki...huwa ni kinyumeche...bila kuwasahau wale sitaki nataka.

HAPO VIPI
 
Hizi ndio ndoa sasa
1770057348117.jpg
 
Ujana maji ya moto anyway kwa kuwa umezeeka kazana makanisani na kutubu dhambi zako upate pumziko la milele peponi.
Mie ni muumini wa REINCARNATION Imani kali sana hii....kwamba nikifa nazaliwa tena ....nina uhakika mia kwa mia na ushahidi ninao pia kumbukumbu za kale kabisa kabla sijazaliwa kipindi cha sasa,,,,,Upo?
 
Naam ni enzi za ujana katika harakati za kutafuta maisha nilikuwa katika kipindi cha hali ngumu na kujitafutia kazi halali za kujiingizia kipato hasa kujichanganya katika vibarua vya ujenzi mambo ya ufundi garage na jioni kuchoma mahindi katika njia panda fulani.

Ni ndani ya jiji la Dar el salaam katika njia panda hiyo kuna kituo cha daladala ambapo mida ya jioni raia wengi hushuka kuelekea majumbani mwao.

Kwa kifupi kuna mama mmoja mtu mzima (kwa sasa wanajulikana kwa jina la Mushangazi),,,kila anaporudi kazini hupita katika kijiwe changu na kujipatia muhindi wa kuchoma.

Naam siku moja nikajaribu kurusha ndoano kiutani lakini akawa mkali kiaina na kunivunja moyo.

Kutokana na muonekano wangu; na hali yangu ya kimaisha nikaona kweli ni kujipotezea muda basi nikampotezea na kuendelea na maisha na mishe mishe zangu,

Pamoja na kunitolea nje hakuacha kuwa mteja wangu na mimi nikawa namhudumia kwa heshima tu na kamwe sikuthubutu tena kurusha ndoano.

Sasa sina uhakika kama kule kunitolea nje ilikuwa ni utani au alikuwa anapima urefu wa maji kwa miguu; swali hili niljiuliza baada ya kumaliza raundi ya kwanza nikiwa bafuni nabadilisha mpira wa kiume.

Baadae sana ndipo nikapata elimu kwamba alikuwa na tatizo la Emotional Suppression pamoja na Cognitive Dissonance.

Kwa hiyo hawa viumbe ukiona anakuwa mkali sana kwamba hakutaki...huwa ni kinyumeche...bila kuwasahau wale sitaki nataka.

HAPO VIPI
Kuna kitu bado hujuwi

Iko hivi, kadri unavyokifukuzia na kukihitaji kitu ndivyo ambavyo hicho kitu kitaenda mbali nawe na hutakipata

Lakini unavyokiachilia ndivyo utakavyokipata kwa urahisi

Hata hela ni hivyo hivyo, ukiwa bize sana kuitafuta na kuiwaza ndivyo ambavyo hutaipata

Kawaida ya mwanamke ukimhitaji sana unaweza usimpate
 
Mie ni muumini wa REINCARNATION Imani kali sana hii....kwamba nikifa nazaliwa tena ....nina uhakika mia kwa mia na ushahidi ninao pia kumbukumbu za kale kabisa kabla sijazaliwa kipindi cha sasa,,,,,Upo?
Endelea kujifariji tu moto wa kubandua mbususu bira mpangilio upo palepale unakusubiri ubanikwe kama nyama choma.
 
Kuna kitu bado hujuwi

Iko hivi, kadri unavyokifukuzia na kukihitaji kitu ndivyo ambavyo hicho kitu kitaenda mbali nawe na hutakipata

Lakini unavyokiachilia ndivyo utakavyokipata kwa urahisi

Hata hela ni hivyo hivyo, ukiwa bize sana kuitafuta na kuiwaza ndivyo ambavyo hutaipata

Kawaida ya mwanamke ukimhitaji sana unaweza usimpate
Bonge la point,,,,,hakika nimeamini manake yameshanikuta si mara moja
 
Back
Top Bottom