Kama heading inavyosomeka hapo juu wadau naombeni msaada , deck inasoma "no disk" CD zote nimejaribu nimachemka Ila kwa jirani zinafanyakazi kama kawaida.
Hahaha hata mimi nashangaPole, ivi bado mnatumiaga CD?
Jibu murua kabisaMkuu!!! Lens imekufa tafuta kubadilisha hiyo lens kwa kwenda kwa fundi akuwekee nyingine huwa inatokeaga mara kwa mara kwa hivyo vifaa hasa pale unapo weka cd au dvd zenye mikwaruzo. Hyo mikwaruzo inaiua huo lens na kuleta hyo shida, epuka ku cheza hizo cd na dvd zenye mikwaruzo.