kILA NIKIVAA CONDOM TU! GOBORE LINASINYAAA!

Tagawa Mwakitombile

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2012
Posts
468
Reaction score
398
habari za siku nyingi ndugu zangu?

Kwanza kabisa napenda kuwapapole mashabikiwenzangu wa MANGWEA pamoja na wapenda musiki wa kizazikipya hapa nchini maana tumempoteza jembe.(R.I.P MAGWEA).

Leo napenda niweke mezani jambo moja tu ambalo linanisumbua sana na limnianza siku za hivi karibuni baada ya kuachana na girlfriend wangu

issue iko hivi; Ni takribani miezi 2 imepita tangu niachane na girlfriendwangu na sasa hivi niko kwenye mahusiano na msichana mwingine,ila kitu kinachonishangaza na kuniumiza kichwa ni kwamba wikiend iliyopita tulikubaliana atakuja kwa home ili tubadilishane mawazo na atanipa ''TAMU'' mambo yalienda frsh kama tulivyokubaliana ila ishu ikawanzito pindi tulipojiandaa kuanza kusex maana goborelangu lilikuwa ready kwa kula tamu,ila tatizo likaja pale nilipoanza kuvaa condom maana nilishangaa kuona gobore limelala doro!
Nilijaribu mara kadhaa ila kila nilipovaa kinga lililala doroo!
Kwa kuona labda huyu msichana atanichukulia ndivyo sivyo nikaamua kula mzigo kavukavu na mambo yakawa bweee! (ila sasahivi najuta kwa maamuzi niliyochukua maana ndo mara ya kwanza nime do na huyo msichana tena kavukavu bila kujua back groundyake ilikuaje)

vilevile tatizo lingine linalo nisumbua zaidi ni kile kitendo cha gobore kusinyaa pindi ninapo vaa condom!

Wadau wenzangu hebu naombeni mawazoyenu kusuhu hii issue inatokana na nini?
 
Mchafukobe
Duh sasa wewe badala kuona kuna walakini ndio kwanza unatupa zana:shock:??? Enewei............ It could just be one of those things i.e " freaky coicidence" or maybe something serious. Either way you need to go check yourself.
 
pole sana,hata mie hili tatizo huwa linatokea lakin mara nyingi kwa mwanamke ninayekuwa nina wasi wasi nae so nakuwa akiri yangu haiko pale kwahiyo huwa silembi nikishavaa tu condom haraka haraka nakimbiza kuingiza ikishaingia navuta hisia kitu kinakuwa mukide.so jaribu kurudisha akiri kwenye tukio na punguza uwoga/hofu na wasi wasi unapokuwa faraga
 
hahahaha...polee.

duuh mi ningezimia aisee, yaani unapewa tamu tamu alafu unashindwa?
 
Pole,wakati mwingine hawa dada zetu wana mambo ya kishirikina,aidha imefanywa na uliyemuacha au huyu uliyempata.Wakati mwingine,unamliza tendo,unashangaa kuona kijiti kipo kitandani.
 
Ukiona hivyo ujue ziraili kakupangia ufe kwa ngoma. Ungeachana na zinaa ukasubiri, umpime bishosti na kufunga nae ndoa.

Kuna wimbo wa zamaniii itv (hawavumi) unaitwa kosa la marehemu. Nakudediketia

We mbayaaa ndo umeconclude kabisa jamaa amezawadiwa miwayo
 
Lakini alikufa kwa ngoma,alikuwa anavaa condom siku moja akasahau.......iiiii
Lakini alikufa kwa ngoma(hemb imba kwanza)
Nimeamini stail uliyopangwa nayo kufa haiwezi kubadilika hata ufanyaje

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ushazoea kavu wewe ndom sio mambo yako hiyo! Saikolojia ishajiset hivyo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
kha wanawake bwana kweli rahisi sana kutoa tamu kavu kavu...yaani wala hakubisha wee kumla kavu!?

Hapa ndipo unaona jinsi wanadamu tunavyojua kunyooshea kidole wengine! Jamaa anashangaa wanawake kwa kutoa kavu kavu! Na huyu jamaa ambae kuliko aonekane ana tatizo akaamua kuingia kichwa kichwa ... saa hizi anajuta, je? Huu si ndio ufisi (lugha ya picha) kabisa? Kuliko kuukosa mfupa bora kujitupa hivyo hivyo kwenye pango lenye simba! Nia yake ya kujaribu kuvaa condom ilikuwa kuhakikisha usalama wake...ila alikuwa radhi kuachana na usalama ili amege! Btw... nafikiri huyu kabla hajasaidiwa kutatua tatizo la gobore lake pengine asaidiwe kujitambua na kuheshimu utu wake.
 
habari za siku nyingi ndugu zangu?

Kwanza kabisa napenda kuwapapole mashabikiwenzangu wa MANGWEA pamoja na wapenda musiki wa kizazikipya hapa nchini maana tumempoteza jembe.(R.I.P MAGWEA).

Leo napenda niweke mezani jambo moja tu ambalo linanisumbua sana na limnianza siku za hivi karibuni baada ya kuachana na girlfriend wangu

issue iko hivi; Ni takribani miezi 2 imepita tangu niachane na girlfriendwangu na sasa hivi niko kwenye mahusiano na msichana mwingine,ila kitu kinachonishangaza na kuniumiza kichwa ni kwamba wikiend iliyopita tulikubaliana atakuja kwa home ili tubadilishane mawazo na atanipa ''TAMU'' mambo yalienda frsh kama tulivyokubaliana ila ishu ikawanzito pindi tulipojiandaa kuanza kusex maana goborelangu lilikuwa ready kwa kula tamu,ila tatizo likaja pale nilipoanza kuvaa condom maana nilishangaa kuona gobore limelala doro!
Nilijaribu mara kadhaa ila kila nilipovaa kinga lililala doroo!
Kwa kuona labda huyu msichana atanichukulia ndivyo sivyo nikaamua kula mzigo kavukavu na mambo yakawa bweee! (ila sasahivi najuta kwa maamuzi niliyochukua maana ndo mara ya kwanza nime do na huyo msichana tena kavukavu bila kujua back groundyake ilikuaje)

vilevile tatizo lingine linalo nisumbua zaidi ni kile kitendo cha gobore kusinyaa pindi ninapo vaa condom!

Wadau wenzangu hebu naombeni mawazoyenu kusuhu hii issue inatokana na nini?
huyo dada ana matatizo, anaweza kuwa na ngoma. kama hana matatizo asingekubali kavukavu. ni ajabu kwamba hata hakusita kupigwa kavukavu.
 
Mkuu naisi ako ni kadalili ka usenge (Impotence)!
 
my brother pole kwa yaliyo kukuta , najua wazi ilikuwa ngumu sana kuchukua uamuz mgumu wakuacha kufanya mapenzi after the situation happen but here i wanna tell ya da reason behind 4 somethin to happen
1. inaonekana ni mara ya kwanza kutumia mpira au co mzoefu na matumizi ya mpira so emotional problem due to adaptation coz inaonekana ex wako mlikuwa mnasex kavu.
2. wasiwasi au muhemko wa mpenzi mpya hivyo inakufanya kushindwa kustahimili na kucontrol feelin zako.
3. panic
note: inatakiwa uwe mtulivu na usiwe na papara durin da tim bro .
kwa ushauri zaid waweza muona mtaaramu wa saikolojia.
intake: bora umuache aende kuliko kukubali kutumika kimwili
habari za siku nyingi ndugu zangu?

Kwanza kabisa napenda kuwapapole mashabikiwenzangu wa MANGWEA pamoja na wapenda musiki wa kizazikipya hapa nchini maana tumempoteza jembe.(R.I.P MAGWEA).

Leo napenda niweke mezani jambo moja tu ambalo linanisumbua sana na limnianza siku za hivi karibuni baada ya kuachana na girlfriend wangu

issue iko hivi; Ni takribani miezi 2 imepita tangu niachane na girlfriendwangu na sasa hivi niko kwenye mahusiano na msichana mwingine,ila kitu kinachonishangaza na kuniumiza kichwa ni kwamba wikiend iliyopita tulikubaliana atakuja kwa home ili tubadilishane mawazo na atanipa ''TAMU'' mambo yalienda frsh kama tulivyokubaliana ila ishu ikawanzito pindi tulipojiandaa kuanza kusex maana goborelangu lilikuwa ready kwa kula tamu,ila tatizo likaja pale nilipoanza kuvaa condom maana nilishangaa kuona gobore limelala doro!
Nilijaribu mara kadhaa ila kila nilipovaa kinga lililala doroo!
Kwa kuona labda huyu msichana atanichukulia ndivyo sivyo nikaamua kula mzigo kavukavu na mambo yakawa bweee! (ila sasahivi najuta kwa maamuzi niliyochukua maana ndo mara ya kwanza nime do na huyo msichana tena kavukavu bila kujua back groundyake ilikuaje)

vilevile tatizo lingine linalo nisumbua zaidi ni kile kitendo cha gobore kusinyaa pindi ninapo vaa condom!

Wadau wenzangu hebu naombeni mawazoyenu kusuhu hii issue inatokana na nini?
 
....kwani ni lazima mwanaume tu awe anavaa condom? USAWA UKO WAPi? si ungeenda kumchukulia yake ili avae yeye?

Nahisi asilimia kubwa ya wanawake hawajuu kuvaa condom za kike :juggle:
 
Hatari hiyo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ukiona hivyo ujue ziraili kakupangia ufe kwa ngoma. Ungeachana na zinaa ukasubiri, umpime bishosti na kufunga nae ndoa.

Kuna wimbo wa zamaniii itv (hawavumi) unaitwa kosa la marehemu. Nakudediketia

Kosa la marehemu kaka.....uswahilini matola
BAK tunahitaji msaada wako hapa
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom