HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,569
Kwa kuona labda huyu msichana atanichukulia ndivyo sivyo nikaamua kula mzigo kavukavu na mambo yakawa bweee!
Tatizo lako linaonekana ni la kisaokolijia zaidi, akili nafikiri ilikuwa haijajiandaa vyema. Ila hapo nilipobold kaka, yaani ulikubali kuungia kavu kavu kwa kuogopa kuonekana ndivyo sivyo? Haya maamuzi yalikuwa hatari mno, maana ulihatarisha maisha yako kwa sababu nyepesi kabisa, kuonekana ndivyo sivyo! Kuwa makini kwenye mahusiano mdogo wangu, utapotea!