kILA NIKIVAA CONDOM TU! GOBORE LINASINYAAA!

kILA NIKIVAA CONDOM TU! GOBORE LINASINYAAA!


gobore inakosa hewa yakheee!!
c ungeenda kupima kwanza kabla
ya ku do na huyo mpya?one mistake one goal!!
 
Labda mawazo yako yanakuwa sana kwa girlfriend mliyeachana ndo maana hali hiyo inakukuta
 
Kumbe ndo mlivyo hivi wanaume,, Ee Mungu nilindie wa kwangu popote anakopita.
pole sana,hata mie hili tatizo huwa linatokea lakin mara nyingi kwa mwanamke ninayekuwa nina wasi wasi nae so nakuwa akiri yangu haiko pale kwahiyo huwa silembi nikishavaa tu condom haraka haraka nakimbiza kuingiza ikishaingia navuta hisia kitu kinakuwa mukide.so jaribu kurudisha akiri kwenye tukio na punguza uwoga/hofu na wasi wasi unapokuwa faraga
 
Wakati wa mafunzo jandoni katika yale maeneo machache yanayoendelea kudumishwa mila hiyo, vijana tuliambiwa kuwa ukiona hali imekutokea kama hiyo, ujue partner wako ana matatizo kama vile ugonjwa, kwa hiyo mwili wako umehisi hatari. Sina uhakika kama yalikuwa ni maneno mbofu mbofu au kuna ukweli, ila mimi ikinitokea hivyo, sitaendela naye.

hakuna lolote punyeto zinawaharibu kama unabisha wauliza watu nane kati ya kumi waliokubmwa na tatizo hilo utajua
 
Back
Top Bottom