Kila nikituma maombi ya kazi siitwi kwenye usaili naomba ufafanuzi wa hili

ommy clear

JF-Expert Member
May 26, 2018
214
57
Hivi kwanini kila nikiomba kazii, sipati kuitwa hata kwenye interview hali ya kwamba vigezo ninavyo? Nakwama wapi waungwana hivi ukitoa academic vitu gani vingine muhimu vya kuzingatia pengine mimi sifanyi hivyo? Naomba wazoefu wa mambo aya wanipe ufaham kidogo.

Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole. Unajihesabia haki bure.
Kama ungekuwa na vigezo, basi ungeshapata kazi, lakini kwa sababu huna vigezo ndiyo maana hujapata kazi.
Yawezekana unavyoviona wewe kuwa vigezo, si vigezo kwa mwenzako.

Mfano:
Unaweza ukawa na degree ya education, lakini nafasi ya kazi iliyop ni ya udereva c plain, wakati wewe hata ile yakujifunzia huna.
 
Saivi wasomi ni wengi n competition kubwa sana kwenye ajira,kama CV yako inajieleza vzuri we endelea tu kuapply usikate tamaa n ipo siku watakuita tu n utapata kazi.

In the mean time kama huna ajira omba hata ujitolee sehem uendelee kupata experience

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza hakikisha kazi unayoomba una vigezo nayo, siyo kuomba tuuu kazi, kazi yenye vigezo vinavyoendana na qualifications zako.
Pili pitia tena upya CV yako, kama kazi uliyoomba una vigezo nayo na hukuitwa kwenye interview. Pitia upya CV yako, washirikishe wataalam wa kurekebisha CV ili ikae vizuri.
Tatu omba kazi ambayo unajua kabisa hiyo kazi kwa qualifications zako hauwezi kukosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wakati unaendelea kutafuta ajira nakushauri uanzishe goli hata la kuuza kalanga, sigara na pipi hutatoka kapa, haya mambo ya kutafuta ajira unaweza kusubiri kuitwa kwenye interview hadi umri wa kustaafu unakukuta hujaajiriwa, mimi nilifungia degree kabatini nikajimix na wahuni wa karume market kwa sasa hali sio mbaya namshukuru Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barua ya maombi unaandikaje? Una connection? Mpangilio wa nyaraka zako ukoje?
Hivi kwanini kila nikiomba kazii, sipati kuitwa hata kwenye interview hali ya kwamba vigezo ninavyo? Nakwama wapi waungwana hivi ukitoa academic vitu gani vingine muhimu vya kuzingatia pengine mimi sifanyi hivyo? Naomba wazoefu wa mambo aya wanipe ufaham kidogo.

Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Mimi nadhani unaweza ukawa na vigezo lakini huko kuitwa interview yenyewe ni bahati pia issue ni kutokata tamaa tuu.
 
Mkuu wakati unaendelea kutafuta ajira nakushauri uanzishe goli hata la kuuza kalanga, sigara na pipi hutatoka kapa, haya mambo ya kutafuta ajira unaweza kusubiri kuitwa kwenye interview hadi umri wa kustaafu unakukuta hujaajiriwa, mimi nilifungia degree kabatini nikajimix na wahuni wa karume market kwa sasa hali sio mbaya namshukuru Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuu

Back
Top Bottom