Kila nikitaka tuonane anadai eti yuko bize

Hiyo ni ishara tosha kuwa hana mapenz na wewe kwenye mapenzi ya kweli hata MTU awe busy kiasi gani ataweka kando hata dakika tano kumjulia hali ampendae so ukiona hivyo juwa huyo sio wako
 
Ukiona mtu anakuita mpenzi kila siku lakini hakupi tundi anajifanya yuko busy kila siku basi ujue wewe ni mpenzi msikilizaji na mtazamaji tuu. By mtunzasiri
 
Kama wew unampenda sana, na unaamini hutakuja kumuacha... kamloge, kama hutoweza njoo nikuonyeshe. nikazi ndogo2
 
Changa la macho. Unamboa. Mkioana itakuwaje sasa? Maana mtaishi pamoja
 
[emoji49] [emoji49] [emoji49] yaan unafanana na huyu jamaa.si unakumbuka enz ya primary school ukiwa wa mwisho unacholewa namna hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…