Kila nikitaka tuonane anadai eti yuko bize

Kila nikitaka tuonane anadai eti yuko bize

karim02

Member
Joined
Apr 25, 2016
Posts
64
Reaction score
40
Habari zenu wakuu,

Poleni na majukumu ya kutwa nzima,

Na samahani kwa kuwachosha na thread yangu.

Nina girlfiriend wangu, tuna miezi kadhaa sasa tangu tulipoingia katika mahusiano. Shida ni kuwa hana muda wa kuonana nami kwa kisingizio kuwa yupo bize na pia anasema ni vizuri tukae muda mwingi bila kuonana kwa sababu kila mmoja atakuwa na hamu ya mwenzie hususan pale tutapoonana.

Ni wiki tatu hadi mwezi sasa hatujaonana na tunaishi mji mmoja pia muda anaotoka kazini ni sambamba na ule wa kwangu. Sijajua ni kweli asemayo au ni ulaghai tu ukizingatia ninampenda.

Naomba ushauri!
 
Labda unamkera au unamboa mnapokuwa pamoja.
Make her miss you, kuwa creative , mfanyie vitu vinavyomfurahisha... Mpeleke mahali pazuri, zawadi zawadi, maneno mazuri,.....
Mfanye yeye akumiss....!
 
Bro love technical huna. Hata sms ukimuandikia mtu unatakiwa ziwe za kishua kiasi akisomo aone kuna umhimu akuone. Be creative jombaa
 
Mnunulie chupi nyingi za kubadilisha akija, aliyo nayo sasa ina tobo.
 
tatzio nyota mkuu unaonekana huna cha kumfanya amis uwepo wako
 
Labda unamkera au unamboa mnapokuwa pamoja.
Make her miss you, kuwa creative , mfanyie vitu vinavyomfurahisha... Mpeleke mahali pazuri, zawadi zawadi, maneno mazuri,.....
Mfanye yeye akumiss....!
Hii kitu zingatia sanaa maana inamaana.... Then jitahidi ata uwe unapendeza pendeza nini....yaani uwe smalt utavutia tu
 
Hata Uwe creative, uwe smart, uwe handsome, uwe na hela nyingi n.k kama binti/mwanamke hakupendi utajua tu na ukilazimisha utakoma sana, huyo wa kwako hakupendi ila hataki kukupotezea jumla maana huyo aliyenaye pia hana future naye. Kimbia.
 
Back
Top Bottom