The Genius
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 828
- 2,108
Wakuu salamu.
Kuna mpenzi wangu mmoja hivi wa muda mrefu kidogo, yeye yupo kwake na mimi nipo kwangu.
Sasa, sometimes naona kama vile hatupendani kivileee, so nikaamua nitafute mpenzi mwingine ili nihamishe hisia kwake then nimwache cha ajabu kila ninaye mpata huwa sidumu nae muda mrefu.
Nimeshakuwa na wapenzi wanne lakini wote baada ya muda tunaachana na narudiana na yule wa kwanza ambaye ndio nina mpango wa kumtema.
Nifanyaje?
Nibaki na huyu huyu au niendelee na harakati zangu za kumtema. Au kuna fate ipo between us!
......
Nawasilisha