Kila nikitaka nimwache nashindwa, nifanyeje?

Wakuu salamu.
Kuna mpenzi wangu mmoja hivi wa muda mrefu kidogo, yeye yupo kwake na mimi nipo kwangu.

Sasa, sometimes naona kama vile hatupendani kivileee, so nikaamua nitafute mpenzi mwingine ili nihamishe hisia kwake then nimwache cha ajabu kila ninaye mpata huwa sidumu nae muda mrefu.

Nimeshakuwa na wapenzi wanne lakini wote baada ya muda tunaachana na narudiana na yule wa kwanza ambaye ndio nina mpango wa kumtema.

Nifanyaje?
Nibaki na huyu huyu au niendelee na harakati zangu za kumtema. Au kuna fate ipo between us!
......
Nawasilisha
Matatizo yako kwako jumla hapo umepita na watano. Je kweli wote hawafai?? Au wewe ndio hufai?
 
Kasome vizuri "The power of Pussy" itakusaidia
 
Matumizi mabaya ya neno Genius, we huna lolote ni roho ya kujiona tuu ndo inakusumbua ila ukweli ni kuwa unampenda jamaa so mrudiane tuu muowane muzae watoto mlee!
 
Mkuu umemjuaje kama yeye ni ke mm sijatambua jinsia yake bado
 
Wakuu salamu.
Kuna mpenzi wangu mmoja hivi wa muda mrefu kidogo, yeye yupo kwake na mimi nipo kwangu.

Sasa, sometimes naona kama vile hatupendani kivileee, so nikaamua nitafute mpenzi mwingine ili nihamishe hisia kwake then nimwache cha ajabu kila ninaye mpata huwa sidumu nae muda mrefu.

Nimeshakuwa na wapenzi wanne lakini wote baada ya muda tunaachana na narudiana na yule wa kwanza ambaye ndio nina mpango wa kumtema.

Nifanyaje?
Nibaki na huyu huyu au niendelee na harakati zangu za kumtema. Au kuna fate ipo between us!
......
Nawasilisha
Uache utoto
 
Back
Top Bottom