KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Preta mrembo,za siku? hebu tuache utani mamii,Josephine ulimpa salam zangu mrembo wewe au?sawa msomi hendsam........
waambie hao majini waachane na wachumba zako.....wivu tu........
Preta mrembo,za siku? hebu tuache utani mamii,Josephine ulimpa salam zangu mrembo wewe au?sawa msomi hendsam........
waambie hao majini waachane na wachumba zako.....wivu tu........
Mbele tena?dah.....mkuu.....wewe ni zaidi ya mbele aisee........
Dah we MTU ulipotelea wapi?sawa msomi hendsam........
waambie hao majini waachane na wachumba zako.....wivu tu........
Threat= vitisho, thread=uzi.Mm nakushangaa sana,unaconcentrate kenye space kwani naandika insha,ww concentrate kwenye maudhui ya threat yangu then utoe mchango wako,infact nipo busy sana,muda wa kuweka nspace Leo umekuwa medogo.
Mm nakushangaa sana,unaconcentrate kenye space kwani naandika insha,ww concentrate kwenye maudhui ya threat yangu then utoe mchango wako,infact nipo busy sana,muda wa kuweka nspace Leo umekuwa medogo.
Mkuu Jamiiforums ni shule pia, kuna mambo mengi tunajifunza kutokana na tunavyokosolewa, pia tunajifunza kwa kuangalia watu wanavyofanya.
Mara nyingi umakini wa mtu unapimwa na jinsi anavyoandika, kama sentensi moja unakosea spelling maneno matano, utakuta hata maudhui yanapotea, kwa sababu mtu unapoteza muda kuwaza hapa alimaanisha nini mpaka unasahau hata mtiririko wa habari husika.
Mfano, umeandika threat badala ya thread, kenye badala ya kwenye, nspace badala ya space na medogo badala ya mdogo; badilika mkuu, haya ni makosa madogo madogo lakini yanaleta walakini kwenye umakini na usomi wako.
No hard feelings.
Aisee. Wali huu una mawe sana Sometime CMU ninayotumia inabadisha maneno outomic,na kwasababu ya haraka na ubusy niliyonayo napuuzia.
Aisee. Wali
Hizo error zinazojitokeza ni kwasababu na type haraka na simu yenyewe inabadilisha automatic,sasa kutoka na ubusy na haraka naona uvivu kupreview na ku-edit,sasa baadhi ya watu huku wamekomalia wanaacha hoja ya msingi.
Dah we MTU ulipotelea wapi?
namblock......i can't.......[/
Haya majungu yote coz ni wivu tu,inawasumbua na ulimbuke....alafu habari ya kuniblock...sijui I can't,umesikie Nani anakutaka..changia mada acha habari zako za kishamba.