Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,628
Aliyosaini cheti changu cha fox six no huyo mama Ndalichako,acha wivu sio. kila mtu msomi ni fake
Mkuu tuna judge usomi wa mtu kulingana na anayoyaongea na jinsi anavyoandika, mimi hata wakati niko darasa la tano sikuwa naandika hovyo kama ulivyoandika.
Imagine, hakuna space baada ya mkato na nukta, sentensi hazianzi na herufi kubwa, kila baada ya maneno matatu unakosea spelling, humalizii kuandika neno etc etc.
Badilika mkuu udhihirishe kauli yako ila kwa leo hapana.