johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,780
- 141,667
Aina ya siasa alizofanya Rostam Aziz enzi zake hazitofautiani sana na za mzee David Sanga aka Jah people mjukuu wa mganga maarufu pale Makete ambaye aliwapa sana utajiri Wakinga kabla hajaokoka.
Ukiona Jah people anatetea jambo fulani ujue pana maslahi binafsi kama ilivyokuwa kwa Aziz.
Ninamfahamu Sanga tangu miaka ile ya 90 akiwa mpiga debe na baadae diwani ni mtu " mjanja mjanja" sana mithili ya George Zamdela wa Isidingo.
Maslahi yake kwanza ( akiwa ameyaficha) kisha ya wananchi baadaye.
Maendeleo hayana vyama