Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 15,961
Hahah.kwamba Mungu afanyaje sasa...ampe huyu jamaa awanyime wengne wakat wote ni watoto wake.Mtangulize mungu jamaa angu
Hahah.kwamba Mungu afanyaje sasa...ampe huyu jamaa awanyime wengne wakat wote ni watoto wake.Mtangulize mungu jamaa angu
Kwahio unatuambia nini mkuu?! Ushauri...?Biashara ni sayansi na inataka elimu au uzoefu wa mda mrefu sana
Tatizo kila mmoja anafanya biashara siku hizi na faida ndio hizo mnazopigania za 200
Mtu anafanya biashara ya faida 200 na anakuambia siachi hata 100 basi bora kutafuta kazi nyingine
Mlo wao wanalia hapohapo kwa maji ya kisima yaani maisha ya wengine ni duni sana kiasi unasema hivi huyu ni mfanyabiashara au anaganga njaa tu
Mwisho wa mwaka TRA wakija kudai chao hujawakusanyia kabisa maana wewe ulikuwa unaweka faida yako tu bila kuweka na VAT maana ukiweka na hiyo vat bei lazima iwe juu
Ndio hapo tunarudi na kusema biashara ni Elimu
Angalia Asians wanavyofanya biashara
Kesho akiendesha V8 unasema mwizi kumbe faida ya bidhaa zake ni zaidi ya nusu na VAT kakulima kiaina
Tutakalia kusema wakuja wanaiba sana ila hatujui kuwa biashara ni zaidi ya tunavyoiona
Wengi wanafuata mkumbo tu halafu msimu wa kulima usifika anaenda kulima na kumuacha wife anauza duka
Sasa unajiuliza huyu ni mfanyabiashara au mkulima?
Sifoki ila ukweli ndio huo na wengi wanafeli kwa sababu ya jirani kampiga bao anaenda kuchukua mkopo wa mamilioni ili ajaze duka ila bado anakuja kufeli vibaya na mwisho nyumba inapigwa mnada
Hitimisho naona kiwango cha biashara kwa wengi ni kuuza ubuyu na karanga tu
Excellent.Wengi wanatoa ushauri bila kuelewa biashara ya duka la jumla. Ngoja nitoe mwazo yangu kuhusu hii biashara kidogo.
Mosi, hii biashara kama una mtaji mdogo basi inatakiwa utafute sehemu ambayo utakuwa mbali na wenye mtaji mkubwa maana wao wanachukua mzigo mkubwa na huwa wanapata kamisheni wakimaliza ule mzigo. Kwahiyo anakuwa analenga faida ndogo ili auze haraka ili apate kamisheni.
Pili, inatakiwa uwe unafanya delivery bure kwa wateja wako, hii itasaidia sana kwa wale wateja wavivu ambao hawapendi kuzunguka yani wanapiga simu unawapelekea mzigo.
Biashara ya jumla ni biashara kichaa inayoumiza sana kichwa kama upo sehemu yenye ushindani halafu una mtaji mdogo
Ushawahi kusikia chochote kuhusu ndumba kwenye biashara labda? Au kusikia figisufigusu za biashara maybe? Dawa za kuongeza mvuto? Kalumanzira je...Tawire tawireNyota naisafisha kwakutoa zaka ktk Mali yangu
Hakuna Cha nyota kufifia Wala nin....nichangamoto zakibiashara tu mkuu
Kwahio unatuambia nini mkuu?! Ushauri...?
Umemshauri vizuri sana mkuu.Pole mkuu kwa changamoto hiyo
Kiukweli wewe unapitia changamoto Kama yangu
Ila Hebujaribu mbinu hizi
1 omba mungu kwa Iman yako Kila siku kabla na baada ya kufungua biashara yako
2 fungua mapema kuliko wenzako na funga kwa kuchelewa kuliko wao
3 kuwa msafi kwenye mwili, mdomo (kauli nzur kwa wateja) pia mpangilio mzuri wa bidhaa zako
Nk usisahau kuwa mcheshi na mchangamfu hasa kwa watoto heshima kwa wakubwa hasa wazee
4 jiongeze kwenye vitu ambavyo kwa namna yyte ile wapinzan wako hawawezi
Mfano
Tafuta maharage mazuri kuliko wao,
Choroko na karanga nzur kuliko wao
Uza Hadi vile vitu ambavyo watu weningine hawana mfano sindano za kushona nguo nk
5 tafuta Bango andika baadhi ya vitu na Bei zake Kisha liweke hapo njiani karibu na duka lako watu wakipita walione
6 tembelea mama ntilie waombe wawe wateja wako ukipata 5 wanaochukua angalau vitu vya 20000 Kila siku una uhakika w mauzo ila uwe nao makin ni warushi wazuri sana
Nakutakia Kila la kheri mdau mwenzangu
Umewahi kufanya biashara?Kwa lugha nyingine ibrand biashara yako badala ya kuendelea kupunguza bidhaa
Ktk biashara unachopaswa kufanya ni kucheza na saikolojia ya mteja Tu..
mfano wewe na mshindani wako wote mnauz mchele wa kyela kilo ni TSH 1500/=,mwenzio akapunguza bei akauza 1200/= wewe badala ya kuuza elfu Mia mbili km yeye badala yake pima kilo yako weka kwenye package mzuri kuliko mfuko(kifaa) aliikuja nao.custimer care pia ni kipengere muhimu sn..hapo utamfanya mteja ajiskie vizuri sn
Habari wakuu,
Nimekuja kwenu kutaka fikra na mawazo.. Niko ktkt biashara ya duka la jumla la vyakula kwa muda Sasa changamoto iliyopo kila mshindani wangu analenga kushika wateja soko kwa kushusha Bei chini Zaid nami nimekua nikishuka nao..
Sasa Basi Hali hii imepelekea kuzid kukupunguza faida ktk kila bidhaa matokeo yake unajikuta ktk bidhaa unayoiuza 56000 unabakiwa na faid200.
Na ukisema ubaki na bei juu tofaut na washindani wako Basi wateja wengi hukimbilia kwa wenye Bei ndogo Zaid maana soko ni dogo wateja niwale wale mnafanya kugawana wateja kwa mbinu ya kushusha Bei.
Wakuu nin nifanye nitoboe maana nawaza mbinu nyingi Zina feli.
Huo ubinafsi wako ndo unakuponza, mda wote unawaza vita, wenzako wanataka amani, wewe ukiwasha moto wao wanakuja na maji wanauzima unabaki kupangusa majivuHabari wakuu,
Nimekuja kwenu kutaka fikra na mawazo.. Niko ktkt biashara ya duka la jumla la vyakula kwa muda Sasa changamoto iliyopo kila mshindani wangu analenga kushika wateja soko kwa kushusha Bei chini Zaid nami nimekua nikishuka nao..
Sasa Basi Hali hii imepelekea kuzid kukupunguza faida ktk kila bidhaa matokeo yake unajikuta ktk bidhaa unayoiuza 56000 unabakiwa na faid200.
Na ukisema ubaki na bei juu tofaut na washindani wako Basi wateja wengi hukimbilia kwa wenye Bei ndogo Zaid maana soko ni dogo wateja niwale wale mnafanya kugawana wateja kwa mbinu ya kushusha Bei.
Wakuu nin nifanye nitoboe maana nawaza mbinu nyingi Zina feli.
UmetishaaNina duka la jumla la dawa za binadamu mbinu ninayotumia ni ndogo sana nawapumbaza wateja wangu kwa kushusha bei bidhaa Fulani uku bidhaa nyingine napandisha bei zaidi..ile bidhaa niliyoshusha bei ndio inaficha bidhaa fulani niliyopandisha bei....
Iko hivi naangalia items zinazotoka sana ndio hizo hizo nashusha bei uku items nyingine napandisha bei kubwa sana...yaani wateja hawakauki wanasema nina bei ndogo kumbe nawazuzua kwa baadhi ya items nang'ata na kupuliza
YahUmewahi kufanya biashara?
Ongeza muda wa kufungua na kufunga biashara.Habari wakuu,