Kila nikipata mpenzi mpya anatumia mkono wa kushoto!

Hakuna ubaya wowote kuoa mwanamke mwenye kutumia kushoto, mbona wife wangu anatumia shoto kwa kufanya kazi zake
 
haihusian na chochote,mbona unabahat, mi nawatafuta hao hata sijafanikiwa kuwapata had sahz nshakua na miaka 89
 
Nimekuwa najiuliza, lakini sipati jibu. Mpenzi wangu wa Primary alikuwa Mashoto, wa A Level alikuwa Mashoto, then huyu wa sasa naye ni Mashoto, hii imekaaje? Sijui nitaoa Mashoto?

Wazuri sana, wana akili and tafiti zinasema they enjoy love making more than their cousins the right handers
 
Hakuna tatizo hapo mkuu ni hali tu ya kibina damu... Me mwenzio toka nazaliwa yani baada ya kuanza kombolela nikaotea bidada ana nywele kichwani chekechea nae the same, primary as usual sasa wa primary ndo mpaka sasa ninae tupo UD HAPA.
 
Big Up
Nimesoma na watu wanaotumia kushoto ni VIPANGA darasani

Inaelekea kaka unajua kuchagua

Hongera sana

SWADAKTA! Yani ni vipanga mbaya,si darasani tu wengi wao hata nje ni smart sana katika mambo yao....Swali la kizushi,6x6 umewaonaje!?
 
Jamani acheni prejudice! Mkuu fuatilia cfa za left handers then utajua their potentialities......mi ni left handed na natamani niwe na yf mashoto pia!!
 
Hiyo ni kama coincidence tu, ni jambo la kawaida na haina uhusiano na facts zozote za maisha.
 
mimi napenda wanaume wakushoto sana,
but sijawahi kukutana nao.
kwa wanawake wa kushoto sijui,
acha wenye uzoefu watakupa.
 
Watu wanao tumia mashoto mara nyingi wako karibu sana na shetani...msidanganywe na watu wanao sema ni ma clever, sio wote mashoto ni ma clever, au wote ma raisi wa marekani.

Sasa wale wano tumia kulia wangapi walikuwa maraisi wamarekani!

Yani ndugu hao ni mawili wachunguze sana mkona wa kuchambia siku zote ni wakushoto, sasa sijui wanakula kwa kutumia mashoto pia.
 
Back
Top Bottom