Kila nikila kitimoto nawashwa

Nasikia infected tick akikung'ata anakuachia hiyo sugar molecule. Ndipo unaanza kuwa na hiyo allergy. Mimi sijui chochote
 
Wakuu
Nikila kitimoto nawashwa sehemu mbalimbali za mwili,nikioga kuwasha kunaisha.
Hii ni allergy au?
Kwa usalama wa afya yako,
tumia kuku au samaki gentleman na itapendeza zaidi πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…