never Se me
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 702
- 1,013
Umeanza lini kuhamasisha uzinzi?Wacha kulalama. Muulize huenda ikawa hajui kwamba kwenye mapenzi kuna kupapasana ye anajua ni kujitegesha tu.
Ila saa nyingine huenda ikawa hamna ushirikiano na pia hapati zile raha za kumfanya ajishughulishe hivyo anajionea bora ajiweke tu kisha ushughulike basi biashara iishe. Mbadilishage na hiyo milalo huenda akachangamka.
inategemea mkuu,nina demu nampenda sana. Tatizo akija gettho msumbufu sana inapofika wakati wa tendo.. Napo mwitaji natumia nguvu sana kumshawishi anajifanya sitaki na taka.. Anajiweka kama gogo atakunipapasa ataki. Ata akinipa analala kama kafa.. Demu mchaga..wakuu nifanyeje
Ahsante kwa taarifa. Hebu tutajie kabila lako tuje tuwamege dada zako tupate raha...Wachaga hawajui mapenzi ng'oooooo ,piga UA ,hamna mchaga aliye romantic !!.
Hawajui mahaba kabisaaa ,akilala nigogo ,kama kafa ,hawajui hata kupapasa , wachaga kwa mapenzi nawapa 0%.
Nmedate now watatu ,wote wanafanana kitandan utadhan wamezaliwa tumbo moja!!.
Uuwiii. Yaani kabla sijasoma ulichoandika nilijikuta natetemeka.Umeanza lini kuhamasisha uzinzi?
Weee mchaga nn ?? Au umeoa mchaga ?hahahah !!!.Ahsante kwa taarifa. Hebu tutajie kabila lako tuje tuwamege dada zako tupate raha...
Nilitegemea umwambie aache uzinzi. Akatoe posa kwa wazazi then wafunge ndoa aone mtoto wa kike atakavyokata mauno...Uuwiii. Yaani kabla sijasoma ulichoandika nilijikuta natetemeka.
Sio kwamba nahamasisha Babu ni kwa sababu kaomba ushauri na sikuzote ni ngumu kuanza kumpinga mtu kwa kitu ambacho kwake anakiona kiko sawa.
Nisamehe bure.
Nilitegemea umwambie aache uzinzi. Akatoe posa kwa wazazi then wafunge ndoa aone mtoto wa kike atakavyokata mauno...
BTW umejaribu kumuuliza ujue kama ana undugu na LeMutuz?
Wewe ni mtu mzuri sana...Fukuzilia mbali, njoo nikupe mtoto wa kibondei