Kila niki-cheat ananiambia ameota ndoto kuwa nina Mwanamke mwingne

Siku akiota umekufa ndo utaelewa maana yake .
Kama title inavyojieleza wakuu,
Nina mpenzi wangu nampenda sana naye ananipenda Japo csijui ni kwa kiacsi gani kwasababu kila mtu na moyo wake.

Sasa huwa inafka muda mwanaum huwa nahitaj ku-cheat ili kukidhi mahitaji but kila nkifanya hivyo manzi wangu ananiambia kuwa ameota ndoto kuwa nina mwanamke mwingine na ameniuliza kuhusu hilo na nimekataaa kata kata kwenye ndoto na hata alivokuja kuniambi katika uhalisia nilikataa pia.

Hii inawez kumaanisha nini? Maana mimi nimewaza nimeshindwa kuelewa na sina hakika kama kuna mtu anampa taarifa juu ya kile ninachokifanya.
 
Naomba iwe hivyo maana naanza kupata stress na hivyo hatujazidiana sana na mr naona kama atapiga nje hatari. Wanasema early menopose starts at 40's and late at 55's
Eti atapiga nje hatari hahah, suala la kupiga nje ni hulka tu sio lazima asubirie mpaka ufike menopose sema naona graph za libido maranyingi huwa zinakua inversely proportional baina na yenu kadri muda unavyoenda, yani wakati yako ipo juu ya mwenzio ipo chini and vice versa
 
Eti nampenda sana,afu unacheat? Tunacheat kwa tusiowapende
Wewe ni "ke" wanaume huwa tunacheat tu sio kwa sababu hatuwapend tulionao, ni kwakuwa kunaendeshwa na tamaa zaid na mara nyingi tunacheat na wanawake ambao hawafikii uzur wa wapenzi/wake zetu
 
Kuna wanawake wana nguvu sana za kiroho, hunitokea sana tu hiyo ila ndo mpaka niwe mwaminifu kimahusiano kuanzia akili matendo na maneno, Tena mi huota tukio kabla halijatokea,
 
Eti atapiga nje hatari hahah, suala la kupiga nje ni hulka tu sio lazima asubirie mpaka ufike menopose sema naona graph za libido maranyingi huwa zinakua inversely proportional baina na yenu kadri muda unavyoenda, yani wakati yako ipo juu ya mwenzio ipo chini and vice versa
Kweli mkuuu tunatofautiana
 
Mkuu una bahati sana ya kupata mtu anayeweza kuona hatari au jambo zuri linalotendeka au litakalotendeka. Wengine watasema ni majini au dawa za waganga, lakini ukweli ni kwamba binadamu ni robo japo tuna nyama zilizofunika mifupa yetu. Binafsi jambo lolote baya au zuri huwa naonyeshwa ndotoni na huwa katika uhalisia niamkapo.
 
Hata mm miaka 4 ilopita nilikuwa na mpz niliota mara nikimuona akicheat na kila nikiota nilikuwa nikiandika trh.
Mara ya mwisho tunaachana hiyo ndoto kwa usiku mmoja ilijirudia mara 3.

Wiki tuloachana mama yangu akaota yeye akanambia daha niliumia sana.

Tangu miaka hiyo sijawahi kuota hayo mandoto coz ilikuwa mwisho kupenda. Sijawahi penda hivo. Sasa hivi ni bora liende.

Hata nikiwa kwenye mahusiano, mtu akizingua siumii hata kidogo. Ukubwa raha
 
Kama title inavyojieleza wakuu,
Nina mpenzi wangu nampenda sana naye ananipenda Japo csijui ni kwa kiacsi gani kwasababu kila mtu na moyo wake.

Sasa huwa inafka muda mwanaum huwa nahitaj ku-cheat ili kukidhi mahitaji but kila nkifanya hivyo manzi wangu ananiambia kuwa ameota ndoto kuwa nina mwanamke mwingine na ameniuliza kuhusu hilo na nimekataaa kata kata kwenye ndoto na hata alivokuja kuniambi katika uhalisia nilikataa pia.

Hii inawez kumaanisha nini? Maana mimi nimewaza nimeshindwa kuelewa na sina hakika kama kuna mtu anampa taarifa juu ya kile ninachokifanya.
Ana jini mahaba huyo....
 
Akikuambia hivyo mwambie akutajie na cku yako ya kufa
 
Mna bond /Halafu kakupenda
Niliwahi kuwa na mwanaume tulitokea kupendana, mda mrefu tu sasa ikafika kipindi kama huyo mwanamke wako nikaota ananicheat nikaliota tukio zima kama lilivyo basi haipiti siku2 linatokea vike vile, ilihali nikiamka tu namwambia nilivyoota anasema si ndoto tu mwisho w a siku inakua kweli.
Mwisho kabisa nilikuja kuota ikatokea siku hio hio na ndio kisa cha kuachana. Haijawahi kunitokea kwa mtu mwingine yeyote badala yake.

Mi nafikiri ni bond kati yenu,kuna mtu aliwahi kusema humu kuwa mapenzi ni spiritually .
 
Ungetuweka wazi na matukio hunogesha zaidi
 
Ila ktk hii mada mm kilichonitokea kwa huyu mwanamke ni kwamba kabla sijamuoa kila nikicheat anajua ss baada ya kumuoa ndio kabisa nikacha kucheat wazee nikamia kwa pombe ss hapa ndio ilikuwa bara hataki atakuisikia yani ninvia tu ndani hata kama sijafungua mdomo huko huko nishambiwa umelewa aise mpk yakukute ndio utajua yani apa nafikilia kuacha kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom