Kila nafsi itaonja umauti

Kila nafsi itaonja umauti

Life2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,377
Reaction score
4,847
Endeleeni kupumzika kwa amani wote mliolala usingizi wa milele, nyie mmetangulia na sisi tutafwata sema hatujui siku wala saa.

Ni kweli ndugu zetu wanaondoka kila siku wapo tunaowafahamu na tusiowafahamu bahati ukiwa kiongozi ukitangulia mbele za haki jamii nzima itafahamu.

Ni kweli kwa sisi watu wa imani tunaamini VIFO VYOTE HUPANGWA NA MUNGU bali nyakati nyingine wanadamu kutokana na utashi wetu na imani zetu ndogo tunaanza kuhoji baadhi ya vifo na kusahau ile kauli kazi yake Mungu haina makosa.

Hivi ni vifo vya baadhi ya viongozi wa taifa letu waliotangulia mbele za haki na watu kuhoji either kwanini wawe watu wa imani moja na je badala ya kumaliza safari zao hapo duniani nafasi zao zilishikwa na nani na watu kuenda mbali zaidi na kuhoji hata imani

Ndg Ndugulile
Ndg Job Ndugai
Ndg Jenista.
Ndg Magufuli
Ndg Mkapa
Ndg Kijazi
Ndg Mwl Nyerere.
Ndg Hillary
Tuwaombee wote waendelee kupumzika kwa amani na wote waliosaulika

Tuendelee kukataa roho zote za Mauti ndani ya taifa letu
 
Inaskitisha sana...😪
 
Attachments

  • IMG-20190126-WA0000.jpg
    IMG-20190126-WA0000.jpg
    32.6 KB · Views: 10
Hivi hata Samia ataonja Mauti kweli?,mbona kama yeye ndio mgawa Mauti kwa WaTz
 
Endeleeni kupumzika kwa amani wote mliolala usingizi wa milele, nyie mmetangulia na sisi tutafwata sema hatujui siku wala saa.

Ni kweli ndugu zetu wanaondoka kila siku wapo tunaowafahamu na tusiowafahamu bahati ukiwa kiongozi ukitangulia mbele za haki jamii nzima itafahamu.

Ni kweli kwa sisi watu wa imani tunaamini VIFO VYOTE HUPANGWA NA MUNGU bali nyakati nyingine wanadamu kutokana na utashi wetu na imani zetu ndogo tunaanza kuhoji baadhi ya vifo na kusahau ile kauli kazi yake Mungu haina makosa.

Hivi ni vifo vya baadhi ya viongozi wa taifa letu waliotangulia mbele za haki na watu kuhoji either kwanini wawe watu wa imani moja na je badala ya kumaliza safari zao hapo duniani nafasi zao zilishikwa na nani na watu kuenda mbali zaidi na kuhoji hata imani

Ndg Ndugulile
Ndg Job Ndugai
Ndg Jenista.
Ndg Magufuli
Ndg Mkapa
Ndg Kijazi
Ndg Mwl Nyerere.
Ndg Hillary
Tuwaombee wote waendelee kupumzika kwa amani na wote waliosaulika

Tuendelee kukataa roho zote za Mauti ndani ya taifa letu
according to islamic nafikiri uu msemo wa "kila nafsi itaonja mauti" upo ndani ya quruan tukufu.

lkn kwa Biblia takatifu haumo......na si kila nafsi itaonja mauti..." ....maana eliya na henoko hawajakufa"
 
Back
Top Bottom