Matanga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2019
- 2,281
- 3,973
WEKA TABIA YA KUPIMA MARA KWA MARA
1. Shinikizo la damu
2. Kiwango Cha damu Sukari/kisukari
3. Kiwango Cha lehemu/Cholesterol
PUNGUZA
1. Chumvi
2. Sukari
3. wanga
4. Maziwa
5. Vyakula vilivyosindikwa
6. Mafuta mengi
Tumia zaidi:
1. Mbogamboga
2. Nafaka
3. Maharage
4. Mbegu
5. Mayai
6. Mafuta ya asili Kama zaituni, samaki, Nazi na yatokanaoyo na mbegu ...)
7. Matunda
VITU VITATU UNAVYOPASWA KUVISAHAU:
1. Umri wako
2. Yaliyopita zamani
3. Majuto yako
VITU VITATU MUHIMU SANA:
1. Marafiki zako
3. Mawazo yako chanya
4. Nyumbani kwako kuzuri.
MAMBO MATATU YA MSINGI:
1. Tabasam/cheka daima
2. Fanya mazoezi nyumbani kwako
3. Angalia na uweke sawa/(balance) uzito wako
VITU SABA VYA KUZINGATIA SANA:
1. Usisubiri kiu ili unywe maji
2. Usisubiri kusinzia ndipo ulale
3. Usisubiri mpaka uchoke ndipo upumzike
4. Usisubiri mpaka uumwe ndipo ukapime afya yako
5. Usisubiri muujiza utokee ndipo uanze kumwamini Mungu
6. Usijidharau/usikate tamaa
7. Amini kuwa kila Jambo linawezekana na kesho yako itakuwa nzuri zaidi ya leo ...
MUNGU AZIDI KUKUBARIKI