nyeusi njano?
nimekununulia bluu nyeusi
nirudishe?lol
Kaunga inunue tu na si lazma uivae weka kama kumbukumbu
Duh kulee kwa Dudubaya na kitu Mpenzi
basi naleta zote...ubadili badili lol
Kaunga, mbuyu ulianza kama mchicha na usipoziba ufa utajenga ukuta.
Mie muwazi kama geti la muhimbili lol.
nimeona kijani na nyeusi nzuri
itakufaa sana
try that
mmmh, sikujua kumbe mshauri wa mavazi yuko hapa, ni mustafa au rweyemtula??
kama hupendi nguo ndefu
basi labda una mguu wa bia
but hizi zimezidi 'kupendwa'
najiuliza siri ni nini?
Hilo vazi limekaa kichokozi kweli...linaonesha each and every detail