Kila mwanamke ninayemfuata

Kila mwanamke ninayemfuata

aiseeee. mkuu kama mapenzi ni magumu kwako, achana nayo. fanya mambo mengine kaka, LIFE must go on!
 
Nahisi unachagua sana, then unavamia watu ambao si level zako..zama za kutukanwa coz umemtongoza ni za kale sana. Mademu wako wengi but wife material ni wachache sana, so mwombe Mungu huku ukiwa umetuliza akili zako huku ukifanya mambo yako mengine
 
hujui kusoma signs na body language...jifunze

hiyo ilikuwa zamani kwetu sis vijana wabichi unamkonyeza halafu unatabasam nae lazma ataonyesha uso wa tabasamu hapo ujue tayari wew kazi n kwenda kujichukulia tu kama mzoga
 
Hivi dunia ya sasa bado mwanaume unatongoza
 
Hivi dunia ya sasa bado mwanaume unatongoza

Ata mi nashangaa ma baamed kibao, kuna machangudoa, house girl jirani,watu wazima, hizi ndo class hazina ulazima wa kutongoza. Issue anayosema jamaa ni mke wa kuoa wa class anayotaka yeye hii ni ngumu, atwambie anataka wa vigezo gani?
 
Ata mi nashangaa ma baamed kibao, kuna machangudoa, house girl jirani,watu wazima, hizi ndo class hazina ulazima wa kutongoza. Issue anayosema jamaa ni mke wa kuoa wa class anayotaka yeye hii ni ngumu, atwambie anataka wa vigezo gani?

Umesahau wanachuo walioishiwa mkopo ni zaidi ya ma baamedi.
 
Duh! Pole Sana,uzi Wako Umenishangaza Sana,vijana Wenzako Tunapigana Kusaka Pesa Wewe Unawaza Mwanamke? Kwa Jinsi Ninavyoijua Dar Ilivyo Mbona Ina Warembo Wengi Sana Tena Bwerere Tu? Dar Ina Idadi Ya Watu Mil 6 Mil 4 Ni Wanawake Tupu,bado Ukose Tu? Unawatongoza Kwa Staili Gani? Halafu Nikufundishe Kitu, Utongozaji Unatofautiana Kulingana Na Aina Ya Mwanamke Unayemtaka,huwezi Kwa Mfano Kumtongoza Housegirl Halafu Ukatumia Staili Ile Ile Kumtongoza Irene Uwoya Au Mwanamke Wa Kariba Yake,kuna Kutongoza Mwanamke Wa Kustarehe Naye Ambaye %98 Lazima Uwe Muongo,lakini Mwanamke Wa Kuoa Unatakiwa Kuwa Muongo Kwa %40 Inayobaki Ndo Unamwambia Ukweli,halafu Kuna Wanawake Maalumu Wa Kuoa Na Wengine Ni Wastarehe Tu,inaelekea Wewe Hujui Kuwa Sort,unarukia Tu Kila Mwanamke Bila Hata Kuwaangalia Kwa Kina,mkuu Si Kila Nyama Inaliwa,wanawake Wa Kuolewa Hata Kwa Appearance Tu Huonekana,huwezi Kusema Eti Jacquiline Wolper Ana Appearance Ya Kuolewa Yule Ni Starehe Basi,sasa Jaribu Sana Ku Sort Na Utofautishe Utongozaji.
 
Nadhani unahitaji swag za kutongoza kwa maelezo yako naamini huna anyway, watakuja wataalam kukuelekeza ikishindikana nitachukua hilo jukumu personal la kukupa maelekezo tukianzia binti yoyote uliyempenda kwa dhati akakukataa.
 
Simba kala mtu ni habari.. lakin mtu kala simba ni habari ya kusisimua!! Hahaha
 
mkuu hili swala la sie boys kukosa wadada ndio kwanza nalisikia kwako mie nimewapanga kama watano wote kila mmoja anajihisi ntamuoa hao five ni wale uhakika bado wale chapa ilale kwa kweli wadada ni wengi usipende kuwa mkweli sana utongozapo na pia wakati unafukuzia fata kama hutaki vile yani asijue uko deep that means usi care sana then being smart all in all mwanaume sio sura height na confidence ladies ndo wanaangalia sana na mpunga haswa kwa hapa town dar

kweli we ki`parcel.. siku tutatoka na hizo testicles zako kwa tabia chafu ya kupanga kama mafungu ya nyanya...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom