pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 312
- 614
Heri ya Mwaka mpya wana Jamvi wote.
Mimi ni kaka ninaye anza kutimiza miaka thelathini tangu kuzaliwa kwangu.Sasa kiukweli nimebahatika kupata kakibarua sehemu fulani huku Mjini.sasa naamini ni wakati muafaka wa mimi kutafuta mwenza wa Maisha.
Nimechelewa kidogo, tatizo linakuja pale ambapo najaribu kuwafuata wasichana kila ninaye mueleza azma yangu ananiambia pole kaka nishawahiwa na wengine wanadiriki kunitukana matusi . Ni idadi kubwa sana ya wasichana nimewafuata bila mafanikio sura yangu ni ya kawaida tu haitishi ingawa nina kovu kidogo kwenye paji la uso.
Nimekuwa mpweke sana na hii imepelekea niwe mwanachama mzuri wa kimboka kona bar na sehemu zingine kama hizo, naona ndoa kwenye vyombo vya habari wanandoa wana pendeza kweli kweli nimekija humu kuombaushauri wenu ninakosea wapi.