Kila mwanamke ana side mbili

Nyinyi Wanawake wa Siku hizi mnathamini zaidi ndoa & pesa kuliko Mapenzi na hii ndio Karma yake.. Wachache wapo wanajua thamani ya Mapenzi ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini mbona 'walazimishwa' wengi hujikuta wapenda juu kwa juu, kutokana na jamaa linavyojali na kukupetipeti mubashara, uongo uongo?

Sent using Jamii Forums mobile app

kweli, en mara mia uolewe na mtu anekupenda kwa dhati, kupitia anavyokutreat utajikuta unampenda.

na wale wanaoolewa na wanaowapenda wengi wao huishia kuvumilia kero na manyanyaso kisa amependa.
 
Miss Natafuta,umepotea njia, sema utakua kunakitu umemkosea. Mwanaume ukiona kama anaringa ni anakupa muda wa kutasmini maisha yako na yeye au kunamipango anafanya kama zawadi I'll akushangaze. Lakini mwanaume akiona anakufatilia sana utaki kumskiliza mashauzi yanaanza na kama hakupendi ukweli anaanza kukitukana
 
Sheria ni hii
Marry sombody u love or love someone marry u.
That means we may learn how to love.


Sent using Jamii Forums mobile app
May be, but for me naona ni ngumu kuingia kwa ndoa na mtu usiyempenda just because you may learn how to love him/her, nahisi will be more of pretending, unajichekesha machoni, huku moyoni umekasirika dah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…