JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,967
- Thread starter
- #21
Hapa ndio tunapaswa kuelewa kuwa hali ya maisha ya mtanzania bado ni ngumu sana...sio ajabu ukaenda kijijiji na kukuta mtu anashindwa kununua pakti ya chumvi...ambayo kimsingi haizidi shs 300! Sembuse kukutana na shilingi 10,000? Hakika hiki ni KITITA kama sio BULUNGUTU kabisa...
mambo vp Dina, jina hili limefanana na Dina wa Arusha.