kila munu ave na kwao

KACHINJA

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
1,263
868
FB_20160701_18_50_49_Saved_Picture.jpg
ni asili yetu wamakonde
yenu ikoje, tupia photo tuone kikwenukwenu
 
Katika simulizi za mababu wanasema wamakonde kujichanja kuliwasaidia kutokwenda utumwani, waarabu na wazungu hawakupenda kuchukua watumwa waliokua na chanjo.
 
kwel kabisa
ila kuna mambo kama
kuonekana jasiri
mrembo

Katika simulizi za mababu wanasema wamakonde kujichanja kuliwasaidia kutokwenda utumwani, waarabu na wazungu hawakupenda kuchukua watumwa waliokua na chanjo.
 
Back
Top Bottom