Nimecheka sana nikakumbuka jamaa yangu alikuwa akivurugwa kazini ananiuliza hivi huko mitaa yako unayoishi hakuna mtu uliye na ugomvi naye nije ninunue kesi nimalize hasira za kutukanwa na boss kazini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.