J john chammy Member Joined Jun 28, 2012 Posts 37 Reaction score 1 Aug 21, 2012 #1 watu walikuwa wanapiga kelele nyingiiii sasa bac tunahitaj tokeo! ""!!
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,101 Reaction score 136,751 Aug 21, 2012 #2 Matokeo ya nini?
QUALIFIED JF-Expert Member Joined Jun 13, 2012 Posts 773 Reaction score 119 Aug 21, 2012 #3 unaongelea nini!? Toka kichwa cha uzi mpk maudhui hakunaga duu
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 85,784 Reaction score 145,586 Aug 21, 2012 #4 Wazee, Wakati mkiwa mnakamata Johnny Mtembezi, Gin, Vodka, Nyagi etc, jaribuni kukaa mbali na vitu viwili kati ya vingi. Usukani, kwa sababu mnaweza kujiua. JF, kwa sababu mnaweza kutuua kwa habari zenu zinazotapisha kupita delta ya Mississippi au Rufiji.
Wazee, Wakati mkiwa mnakamata Johnny Mtembezi, Gin, Vodka, Nyagi etc, jaribuni kukaa mbali na vitu viwili kati ya vingi. Usukani, kwa sababu mnaweza kujiua. JF, kwa sababu mnaweza kutuua kwa habari zenu zinazotapisha kupita delta ya Mississippi au Rufiji.
Mbute na chai JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 571 Reaction score 608 Aug 21, 2012 #5 Yanga kamfunga African Leon tatu bila, tokeo zuri sana jana 20 August, 2012.
QUALIFIED JF-Expert Member Joined Jun 13, 2012 Posts 773 Reaction score 119 Aug 21, 2012 #6 Mbute na chai said: Yanga kamfunga African Leon tatu bila, tokeo zuri sana jana 20 August, 2012. Click to expand... hii imekaa vizuri nazan john chammy kapata anachotafuta
Mbute na chai said: Yanga kamfunga African Leon tatu bila, tokeo zuri sana jana 20 August, 2012. Click to expand... hii imekaa vizuri nazan john chammy kapata anachotafuta
pitbull JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 596 Reaction score 186 Aug 21, 2012 #7 Nimepata 4 ya ualimu
J john chammy Member Joined Jun 28, 2012 Posts 37 Reaction score 1 Aug 21, 2012 Thread starter #8 nataka ya majimaji....