Kuna jamaa alilikoka kisawasawa, alipofika kwao akamkuta baba na mama yake.
Akamwambia baba yake "oya kichaa wangu, huyo kicheche umemuibua wapi tumpige fyucharingi fasta"
Fyucharingi ni mtungo.
Hivi hawa wauza sembe wakiona hivi wanajisikiaje? cc KNM, Masogange Agnes, Jack Patrick, wengine ambao ni maboss natetemeka kutaja. Rais wangu mwenyewe aliogopa. R.I.P Amina Chifupa.
Kuna jamaa alilikoka kisawasawa, alipofika kwao akamkuta baba na mama yake.
Akamwambia baba yake "oya kichaa wangu, huyo kicheche umemuibua wapi tumpige fyucharingi fasta"
Fyucharingi ni mtungo.