Kila mtu ana size yake

Kila mtu ana size yake

Mi nishabakiza sekunde moja nimpige mke wangu, nlivyogundua nimekosa ustahimilivu nikaondoka hom siku nzima. Ilikuwa hivi.2012 nlikuwa na ujenzi wa nyumba yangu tena kwa hela ya mkopo benki ya posta. Yeye alikuwa likizo maana ilikuwa jun. Na mm sikuwa na likizo. Basi mafundi walikuwa wanamimina jamvi kwa ajili ya kuanza kujenga matofali. Sa you know jamvi linakula cement kama kichaa, nikawa nimeshusha mifuko 60. Nikamwacha wife asimamie. Mm saa nne nimetoka kunywa chai nikajisogeza site. Nakuta mafundi wapo peke yao wananiambia natakiwa kuongeza cementi kwani ilopo itaisha kazi haijamalizika. Kuuliza shemeji yenu yupo wapi eti kaenda nyumbani toka kitambo. Nikamfsta nakuta amelala, nikamwuliza iweje uwaacha mafundi peke yao. Akanijibu anajisikia kuchoka kukaa huko. Daaaaaaaaaah, nliskia kitu kimenibana kifuani namwambia ainuke arudi mifuko zaidi ya 10 ishatembea, ananiambeia amechoka. Yaan nlitamani nimmeze.na huku mfuko mmoja tulikuwa tunanunua kwa elf18. Toka siku hiyo kila kitu huwa nafanya sihusishi. Simply huwa namkabidhi tu atumie
 
Haya
FB_IMG_1524255463131.jpg
 
Basi mzembe sana
 
Maisha yangu yote sijawahi kumpiga mwanamke na haitatokea!ingawa wana midomo mirefu inabidi umchimbe mkwara sumtime kwamba sijawahi kukupiga siku nikikupiga naua kabisa!mdomooo unalopokaa weee ukimtisha km unamfata tu yuko uvunguni siku nyingi sana anaanza kuongelea huko huko NIGUSE SASA UONE UNAFKIRI NAKUOGOPA!!inabidi ucheke kisha uende baa ya jirani kuvunja kichwa
dah mjomba umefanya nifukuzwe ofisini na bosi.
 
Binafsi nikiona mwanamke anapigwa au hata picha yakuchora inayomuonesha mwanamke akipigwa huwa nahisi huzuni sana..! Roho inaniuma sana, nawaoneaga huruma sana.....!
Wanawake sisi wapole sana ila tunapoonewa ni wanyama haswaa
 
Back
Top Bottom