Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,607
Wanaume wenye tabia za hivi ni waoga sana
AhahahahahMaisha yangu yote sijawahi kumpiga mwanamke na haitatokea!ingawa wana midomo mirefu inabidi umchimbe mkwara sumtime kwamba sijawahi kukupiga siku nikikupiga naua kabisa!mdomooo unalopokaa weee ukimtisha km unamfata tu yuko uvunguni siku nyingi sana anaanza kuongelea huko huko NIGUSE SASA UONE UNAFKIRI NAKUOGOPA!!inabidi ucheke kisha uende baa ya jirani kuvunja kichwa
Ha ha ha utasikia nyooo eti mwanaume hivi wanaume huwaoni mtaani; hebu nipishe hapa mwanaume suruali...Maisha yangu yote sijawahi kumpiga mwanamke na haitatokea!ingawa wana midomo mirefu inabidi umchimbe mkwara sumtime kwamba sijawahi kukupiga siku nikikupiga naua kabisa!mdomooo unalopokaa weee ukimtisha km unamfata tu yuko uvunguni siku nyingi sana anaanza kuongelea huko huko NIGUSE SASA UONE UNAFKIRI NAKUOGOPA!!inabidi ucheke kisha uende baa ya jirani kuvunja kichwa
Acha tuMama Sabrina huishiwi vioja?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maisha yangu yote sijawahi kumpiga mwanamke na haitatokea!ingawa wana midomo mirefu inabidi umchimbe mkwara sumtime kwamba sijawahi kukupiga siku nikikupiga naua kabisa!mdomooo unalopokaa weee ukimtisha km unamfata tu yuko uvunguni siku nyingi sana anaanza kuongelea huko huko NIGUSE SASA UONE UNAFKIRI NAKUOGOPA!!inabidi ucheke kisha uende baa ya jirani kuvunja kichwa
Mama G hujamboAhahahahah
Abee PutinMama G
Niko poa mamaMama G hujambo
Moja ya kitu nilichoamka kikanifanya nitabasamu ni imani yangu kua wewe na sabrina hamjambo.Abee Putin
Kumekucha, baba G hajambo!Niko poa mama
Alhamdulilah tupo salama kabisa natumaini na nyie wazima wote na mimah piaMoja ya kitu nilichoamka kikanifanya nitabasamu ni imani yangu kua wewe na sabrina hamjambo.
Yuko salama kabisa kalala sasa anaota vipepeo anganiKumekucha, baba G hajambo!
Mie nimzm wa Afya na mima ni mzima wa afya..... Punguza kunitenga mama G.Alhamdulilah tupo salama kabisa natumaini na nyie wazima wote na mimah pia