Lucky One
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 663
- 431
Habari zenu wanajamvi wa humu "Kila mtu ana malaika wake amlindaye" ni maneno kauli ambayo nimeisikia katika nyumba za ibada na ndani ya jamii na tangu nimesikia kauli hii mara nyingi nimekuwa nikiwaza kuhusu jambo hili kwamba kama ni kweli kwanini hatuwezi kuongea na hawa walinzi, kuwaona au hata wengine kuhisi uwepo wao.
Nimekuja kutambua kwamba hawa malaika wapo na huenda ndo chanzo cha watu kuwa na bahati za kunusurika katika ajali,bahati za kupendwa na watu ,bahati za mafanikio katika kazi ,biashara na maisha kwa ujumla n.k
Pia katika uzoefu wangu nimegundua kwamba hawa malaika wapo wa aina mbili kuna wale ambao hujidhihirisha kwa watu wanaowalinda na wale ambao huwahawajidhihirishi.
Wale ambao hujidhirisha ni kwamba yule mtu anakuwa anahisi uwepo wao mfano nina rafiki yangu huwa anahisi kitu kibaya kitatokea hata kabla hakijatendeka aliwahikutusihi tusipande basi fulani na kweli lile basi lilipata ajali na kuuwa watu kadhaa tukabaki tukishangaa jinsi gani alivyoweza tabiri.
Wengine wakisema jambo hutokea kama walivyosema na wengine hujua nini kitatokea keshoNa kundi la pili ni wale ambao hawajidhihirishi kwa watu wao hivyo watu huishi bila kuhisi au kufahamu uwepo waoKama kuna mtu ana maarifa zaidi juu ya jambo hili atuarifu na sisi wengine tuelewe zaidi, uwanja ni wenu sasa.