Kila mtu ana malaika wake amlindaye

Kila mtu ana malaika wake amlindaye

Kimsingi mambo haya yamekaa kiimani zaidi na sio dhahiri....ikiwa utaamini uwepo wa muumba hapa ulimwenguni.....ni lazima utaamini vitu kama hivi......
Kwa kawaida ni kwamba hakuna jambo ambalo limetokea tu kama ajali bali majambo huundwa.....hata haya majengo ya kale tunayoyaona leo ingawa mafundi wake hatuwajui lakini tunaamini kuwa yalijengwa na hayakushushwa.......na hata ukitumia akili yako kidogo ukifikiria namna mfumo tata wa mwili wa mwanadamu unavyofanya kazi katika mpangilio maalumu na katika matukio maalumu tena wakati mwingine hata katika matendo yasiyo hiyari....utagundua kuwa yupo aliyefanyiza haya yote katika umakini wa hali ya juu na sio kuwa yalitokea kama ajali....na huyo sio mwingine bali ni Mungu pekeee........ni mambo ambayo kuwa kiasi kikubwa huwa yanapatana na akili ikiwa utaielekeza akili yako kwenye kuitafuta kweli iliyonyoooka na sio kwenye upotevu uliopotoka........hata ukiutazama mpangilio wa nyota angani na mfumo wa Jua utauona utukufu wa Mungu.....
 
Sisi waislamu hilo jambo lipo wazi kabisa..kwanza tunamin kila MTU ana malaika wa kuandika mema na mabaya yake tens kwa majina rateed na rakeed kama sikosei.kila Jema ufanyalo au zuri basis wao huandika pia kuna wapo wa kukulinda..wanakulindaje halo pana ka utata kidogo research still on progress
 
Utata upo wapi kwani ni mabalaa mangapi ambayo yanatuepuka katika hali ambayo hata sisi wenyewe hatuifahamu wala kudhani.....au ni mabalaa mangapi ambayo sisi kila kukicha yanatukuta lakini yanatuepuka mpaka mwenye unasema "duuuuuuh" ilikuwa nife ile yaani kama bahati tu....
 
Malaika walinzi wapo na hali kadhalika malaika wabaya wanazungukazunguka pia. Ukaribu na malaika wako hutegemea maisha yako ya kiimani. Unapaswa kuwa mtu wa sala, imani thabiti na matendo mema.

Kuongea na malaika wako ni shauri lako mwenyewe, kama unataka utaongea naye naye atakujibu kwa namna mbalimbali kupitia ishara na hata kwa sauti inayosikika endapo itabidi. Lakini hapa unahitaji kuwa deep in faith isivyo kawaida, lakini yawezekana.

Malaika wako yupo karibu na wewe kuliko mpenzi wako wa dhati na anajua maisha yako na yale yote yanayokuzunguka kulliko wewe mwenyewe ujuavyo.

Malaika wako atakulinda kulingana na jinsi wewe ulivyokuwa connected na Muumba wako na kuishi kadiri ya njia za Mungu.

Kumbuka kwamba ukijiingiza katika dhambi umejiingiza kwenye ufalme wa shetani na lolote laweza kutokea kwani wewe mwenyewe umejiweka katika himaya ya shetani na unakuwa katika hali ya hatari kudhurika kutokana na majini na maajenti wa shetani ambao ni wanadamu wanaozunguka kiroho wakishirikiana na malaika wabaya kukutafuta ili wakuangamize

Kila wakati sali na ongea na Yesu Kristo naye ataongea na wewe moja kwa moja au hata kupitia malaika wako.

Kumbuka hakuna neno lolote utakaloomba kwa Yesu kwa Jina lake bila Yeye kulisikia na kujibu.

Kupokea ulichoomba inategemea sana hali yako kiimani na ukaribu na Mungu. Unapaswa kukuza imani yako kwa kuanza kuomba mambo madogomadogo na ukishapokea omba makubwa na endelea kuomba makubwa zaidi. Imani inakuwa kama ambavyo ujuzi ukuavyo.

Mkuu utajaribu kuniconvince hadi kesho sitokuelewa, yani Mungu awekee watu bilioni saba wte kila moja ampe malaika wake, hiyo ina make sense? Wameandika wapi hicho kitu? Kazi ya malaika toka lini imekua kukaa na mtu daily wanamuangalia? Afu unavosema yahitaji mtu kua deep in faith kuongea na huyo malaika wake, wewe umefanya hivo ukaprove? Kama no, then kwa nini unaassume hivo huku wewe mwenyewe u cant do it?
 
Kimsingi mambo haya yamekaa kiimani zaidi na sio dhahiri....ikiwa utaamini uwepo wa muumba hapa ulimwenguni.....ni lazima utaamini vitu kama hivi......
That is what a rationalists would say, hata mimi sikatai most events are logical and could be explained or at least attempt are made, even the heavenly god who is responsible for mankind anaacha maswali kuliko majibu.

But then unakutana na situations fortune favors you even when you were at fault constantly mpaka unasema kulikoni. Binafsi i agree eventually luck will run out if the person does nothing lakini kuna nguvu sometimes ambazo zipo nyuma ya mtu kwakweli kama mlinzi hilo as irrational as it may sound I have experienced it to reach into such conclusion.

Ningeweza kukupa mifano we mwenyewe ungeshangaa wacha nimwachie huyo malaika.
 
That is what a rationalists would say, hata mimi sikatai most events are logical and require proof, even the heavenly who is responsible anaacha maswali kuliko majibu.

But then unakutana na situations fortune favors you even when you were at fault constantly mpaka unasema kulikoni. Binafsi i agree eventually luck will run out if the person does nothing lakini kuna nguvu sometimes ambazo zipo nyuma ya mtu kwakweli kama mlinzi hilo as irrational as it may sound I have experienced it to reach into such conclusion.

Ningeweza kukupa mifano we mwenyewe ungeshangaa wacha nimwachie huyo malaika.

Isome comment yangu yote........
 
Isome comment yangu yote........
It does make sense lakini kwenye dunia ya laboratory science jengo alipindi tu bila ya understanding za principles of of physics vinginevyo litaanguka kama ukufanya experiments zako sawa na kama ni dunia ya wazungu manslaughter might follow suit.

Nachokubali ni in events and situations were luck as to play apart hapo ndio nakuunga mkono.
 
Back
Top Bottom