Hayo mambo ya kila kijitatizo kidogo umwone fundi yalikuwa zamani. kuna vitu vingine hauitaji kumwona technician unaweza troubleshoot mwenyewe, inaonekana ndugu yangu wateja wamepungua pole sana, elimu ya computer imekuwa sana na watumiaji wameongezeka kwa hiyo usilalame hapa.
na hizo next....next ndo zinazoongoza katika kuleta matatizo kwenye pc za watu...mtu ana click next tu bila hata kuchnguza hata kidogo kumbe anainstall na ma program mengine hatari kwa pc yake afu baadae anaanza kulia..!!Next ........ Next ........ finish . any body can do
Mkuu sijui nini, kwa kuwa haupo kibishara I hope nitapata msaada mzuri wa ushauri...na hizo next....next ndo zinazoongoza katika kuleta matatizo kwenye pc za watu...mtu ana click next tu bila hata kuchnguza hata kidogo kumbe anainstall na ma program mengine hatari kwa pc yake afu baadae anaanza kulia..!!
Alafu kitu kingine hawa vijana wameshusha ghalama ya kuservice computer na kuformat zamani miaka ya 2004 wakati nimetoka India kusoma hapa town kuformat computer tulikuwa tuna chaji siyo chini ya laki moja na nusu mpk laki mbili inategemea na mtu lakini siku hizi hawa watoto wanaformat kwa sh elfu tano? Jamani hata Microsoft wanasema kufanya installation isiwe chini ya USD 50 yani mpaka inauma Sana.
Hilo si tatizo la kiufundi ni tatizo la mtumiaji binafsi,mtumiaji anajua kutumia computer kwa kiwango gani.Tatizo wengi wanasema wanajua computer ila in reality hawajui.Lakini kama ukienda kwa fundi na wewe hujui kama umemute sauti kama ananjaa zake acha uchagie walau kidogo.Basic computer troubleshooting knowledge ni muhimu.mh hv labda mtu ame mute sauti ya computer je na hili nalo linahitaji fundi computer?