Kila mbunge wa ccm ni waziri?!

NDOFU

JF-Expert Member
Feb 23, 2009
656
144
Nachukizwa sana na tabia ya wabunge wa ccm kuanza kujibu hoja za wabunge wa Chadema wakati wakujadili hoja mbalimbali za serikali,hivi hawaoni kuwa wanapoteza nafasi adhimu ya kuwatetea wananchi wao? Mbona mawaziri wapo kwaajiri ya kujibu hoja za upinzani? Mbaya zaidi wanawajibu wapinzani kwa kejeli ajenda kubwa imekuwa ni 'Oh waache kuandamana' mara 'wanaleta migomo' hv wabunge wa CDM wakiamua kujibu bungeni itakuwaje! Mbaya zaidi mda mwingi wanautumia kuponda tu,kujadiri hoja wanatumia dk chache sana,mfano H.Shekif,Richard Ndasa n.k. Huu hauwezi kuwa ufisadi? Maana wanatumia posho kulaumu chadema tu!
 
Back
Top Bottom