Kila m2 akifanya hv! HIV kwaheri.

Asaalam aleykum wanajamv ....mimi na mke wangu 2napenda sana hii nikutokana na mfumo w maisha 2liopendekeza 2ishi.na 2meamua kuishi ktk mfumo huo kutokana na dunia y sasa iliyogubikwa na magonjwa na fumanizi kila kukicha.mimi na mke wangu 2meamua kuwa wazi kila mmoja we2 ruksa kuchakachua nje ilimradi ku2mia jezi(kondom) ...ikitokea cku anaenda kuchakachuliwa aniaga na akirudi aniadisia jamaa alivyompinda wakit mwingine na mimi hivyo hivyo nikienda namuaga nikirudi namcmulia jinsi nilivyokamua.... je ni vizuri au nimechemka.nawaclisha

Wewe ndo zuzu kweli x 2!
 
Unafikiri condom is 100% effective in preventing HIV! Nendeni mkapime muone mlivyo na kabila nyingi za vvu!
 
Kwa maoni ya wanaJF, kweli nimegundua wanapenda sana kufanya mambo kwa siri. Yaani wanajidanganya ati kuficha dhambi ndo utakatifu. Hamjui kwmba ni rahisi kwa watu walio wazi kiasi hicho kufika pahala pa kukubaliana kiurahisi na kwa uwazi kuachana na tabia hizo? Hamjui kuchakachua kwa siri hakuna tofauti na uuaji na ni dhambi kubwa zaidi ambayao inaunganisha UONGO na KUCHAKACHUA. Wakati ukimwaga mwenzako kuwa unaenda kuchakachukuliwa unakuwa umeepuka dhambi ya uongo.
Tuache ushakunaku, udwindwizo na kujibaraguza kuwa waliowawazi ndo wachafu. Tuwe wastaarabu jamani. Atleast hata kusema tunachokifanya. Ninakubaliana sana na mtoa mada.

hapo uko ryt mkuu wa2 huwa wanafikir kutembea nje bila mke kujua hiyo cyo dhambi kw kua mke hajajua .... na hakuna zambi ndogo wala kubwa.
 
Unafikiri condom is 100% effective in preventing HIV! Nendeni mkapime muone mlivyo na kabila nyingi za vvu!

ukii2mia ipasavyo inazuia 99.9% ndio mana wataalamu wanashaur i2miwe kujikinga.
 
Kwa maoni ya wanaJF, kweli nimegundua wanapenda sana kufanya mambo kwa siri. Yaani wanajidanganya ati kuficha dhambi ndo utakatifu. Hamjui kwmba ni rahisi kwa watu walio wazi kiasi hicho kufika pahala pa kukubaliana kiurahisi na kwa uwazi kuachana na tabia hizo? Hamjui kuchakachua kwa siri hakuna tofauti na uuaji na ni dhambi kubwa zaidi ambayao inaunganisha UONGO na KUCHAKACHUA. Wakati ukimwaga mwenzako kuwa unaenda kuchakachukuliwa unakuwa umeepuka dhambi ya uongo.
Tuache ushakunaku, udwindwizo na kujibaraguza kuwa waliowawazi ndo wachafu. Tuwe wastaarabu jamani. Atleast hata kusema tunachokifanya. Ninakubaliana sana na mtoa mada.

Nadhani hii ni injili kutoka kitabu cha Freemasons

Nyie wenye ndoa ya ajabu Mbinguni na Kuzimu(maana hata majini hayataki ku-share), hakika nawaambia mnajidanganya kuhalalisha uovu eti kwa kisingizio cha uwazi, na pia lazima kuna mmoja wenu si muwazi kwani kuna siku huwa hatumii condom kwa watu/mtu wake aliyemchagua ambaye naye ana mtu mwingine and so and so on.

Generally I can say for this thread; "Freemasons at Work"
 
he! kuto2mia?!!
 
katika mapopompo nliowah kuwaskia wewe unaongoza jopo:sick: pia lazma utakuwa unakula bange
 
is it a joke or what? mmh kijana wangu hii issue ni serious sana sio ya kufanyia utani kiasi hiki, nenda hospitali ukute ndio mtu anatoka kuchukua majibu yake, acha utani kabisa na hii kitu
 
Hiyo safi sana kamanda, unadjusted waafrika winging has a watanzania tunaangamia kwa unafiki. Hata Hayati Remmy alipoimba mambo kwa soksi nyakati zile walimuona mwendawazimu,lakini sasa hivi naona wamekubali kufuata mambo ya mwendawazimu. Big up man kwa Kuwait muwazi.
 
Asaalam aleykum wanajamv ....mimi na mke wangu 2napenda sana hii nikutokana na mfumo w maisha 2liopendekeza 2ishi.na 2meamua kuishi ktk mfumo huo kutokana na dunia y sasa iliyogubikwa na magonjwa na fumanizi kila kukicha.mimi na mke wangu 2meamua kuwa wazi kila mmoja we2 ruksa kuchakachua nje ilimradi ku2mia jezi(kondom) ...ikitokea cku anaenda kuchakachuliwa aniaga na akirudi aniadisia jamaa alivyompinda wakit mwingine na mimi hivyo hivyo nikienda namuaga nikirudi namcmulia jinsi nilivyokamua.... je ni vizuri au nimechemka.nawaclisha

Hayo machicha ya nazi kichwani ulonayo wewe na mkeo ndo sababu ya hayo mfanyayo. Ebu tuelezeni mlilelewa na nani?
 
Hiyo sio ndoa na huyo sio mke wako

Mila na Desturi haziruhusu jambo kama hilo

KIIMANI hakuna Dini inaruhusu hayo

Nadhani kama ni kweli hili lipo mnatakiwa kuangaliwa Akili zenu
 
Back
Top Bottom