Kila m2 akifanya hv! HIV kwaheri.

walioko kwnye ndoa maambukizo ni makubwa sana zaid y hiyo 1%.huoni mi nimepunguza kuliko ukienda kazin ukitoa mguu na wife nae anatoa mguu kuckojulikana.... sa c bora kuambia ili 2we waangalifu.

kwa hiyo nyie hamuamniniania??
Je mnapendana??
maana najua penye upendo pana wivu...
Je wewe husikii wivu mkeo akikwambia nili lala na fulani ??
 
Watu bwana sasa mnachomtukania huyu jamaa nini sasa wakati ndio aina ya maisha wengi mnayoishi au kwa kuwa yey na wife wamevunja ukimya huku nyie mkijilipua kwa siri:coffee:

kweli shostito ts jst m2 atoke ushaur ni vizur au vbaya hakuna haja y kunicrush coz 2liona udanganyifu ktk ndoa cku hz umeshamiri sana ndio mana 2kafanya hivyo ni km ni vibaya 2naweza 2kaacha vile vile ....kungekua na visenksi km kumi ningekumwagia vyote kwa kua ni haka kamoja cyo mbaya nikikupa haka haka.
 

kwa hiyo nyie hamuamniniania??
Je mnapendana??
maana najua penye upendo pana wivu...
Je wewe husikii wivu mkeo akikwambia nili lala na fulani ??

2napenda saaaana na hicho cha kuwa wazi ndio kina2fanya 2pendane mara dufu.mbona mwanaume huwa wanaoa wanawake zaid y wawili inamaana wanawake wao huwa hawana wivu ....nimakubaliano 2 ndio jambo la mcngi.
 
2napenda saaaana na hicho cha kuwa wazi ndio kina2fanya 2pendane mara dufu.mbona mwanaume huwa wanaoa wanawake zaid y wawili inamaana wanawake wao huwa hawana wivu ....nimakubaliano 2 ndio jambo la mcngi.

oohh dear sasa kwa nini usioe mke wa pili????
maana inaelekea kila kitu kina kubalika kwenye ndoa yako..
 
Hilo jina lake kwa kabila yangu lina maana Zeruzeru(Albino)

ni kweli mi ni mweupe na ninatokea mkoa wa tanga nafikiri na ww utakua unatokea huko huko ryt asante kw kunipa maana y jina langu mana nimekua nikakuta naitwa hivyo na mimi nimezaliwa hapa dar ,tanga kwnyewe cjawahi kutimba wala nini thnx mkuu
 
Duh nimecheka kweli! Naona mmeoana mandondocha sidhani kama mna akili timamu! Mkapime mirembe teh teh teh
 
dah hii 2011 ya ukweli......hii ni kali sio utani:A S thumbs_down:
 
ndoa ya kisela hiyo...mke hana wivu mume hana wivu. aagggrrrrrrr:sick:
 
Asaalam aleykum wanajamv ....mimi na mke wangu 2napenda sana hii nikutokana na mfumo w maisha 2liopendekeza 2ishi.na 2meamua kuishi ktk mfumo huo kutokana na dunia y sasa iliyogubikwa na magonjwa na fumanizi kila kukicha.mimi na mke wangu 2meamua kuwa wazi kila mmoja we2 ruksa kuchakachua nje ilimradi ku2mia jezi(kondom) ...ikitokea cku anaenda kuchakachuliwa aniaga na akirudi aniadisia jamaa alivyompinda wakit mwingine na mimi hivyo hivyo nikienda namuaga nikirudi namcmulia jinsi nilivyokamua.... je ni vizuri au nimechemka.nawaclisha

Mwanangu umejitoa MUHANGA Uwiiiii Nenda kapime kama huna ukome usirudie tena kama una hamu ya kuishi!
Na mkeo kama hataki kata mti panda mti!
uwiiiii kilio!
 
mwenzangu hiyo wala sio sifa, me hata cjapenda, sasa kama kila mtu atakuwa anatoka nje ya ndoa unadhani thamani ya ndoa itakuwa wapi?
 
Mwanangu umejitoa MUHANGA Uwiiiii Nenda kapime kama huna ukome usirudie tena kama una hamu ya kuishi!
Na mkeo kama hataki kata mti panda mti!
uwiiiii kilio!

asante kw ushaur wako kw hiyo bora 2we 2natoka kw kujificha? mana kucheat kwnye ndoa kupo ucpocheat ww bac mwenzio atacheat hakuna uaminifu cku hz.
 
oohh dear sasa kwa nini usioe mke wa pili????
maana inaelekea kila kitu kina kubalika kwenye ndoa yako..

mi naweza nikaoa mke w pili je mke wangu? nae akitaka kuolewa mme w pili na ht akikaa kimya ht yy ni binadamu atatafuta w pemben w kumchakachua ....zaman walikua wanafumaniwa wanaume 2 ila cku hz ht wanawake wanafumaniwa.
 
mwenzangu hiyo wala sio sifa, me hata cjapenda, sasa kama kila mtu atakuwa anatoka nje ya ndoa unadhani thamani ya ndoa itakuwa wapi?

kw hiyo ni bora m2 atoke bila mwenzie kujua? makubaliano ye2 cyo lazima utoke nje y ndoa bali ni pale utaona umedanganyika ni bora umfahamishwe mwenzio.
 
Hakuna cha kufanya kwa siri wala dhahiri, vyote havifahi...! Alafu mkuu, uoni haya kutetea uzinifu?

Kwa maoni ya wanaJF, kweli nimegundua wanapenda sana kufanya mambo kwa siri. Yaani wanajidanganya ati kuficha dhambi ndo utakatifu. Hamjui kwmba ni rahisi kwa watu walio wazi kiasi hicho kufika pahala pa kukubaliana kiurahisi na kwa uwazi kuachana na tabia hizo? Hamjui kuchakachua kwa siri hakuna tofauti na uuaji na ni dhambi kubwa zaidi ambayao inaunganisha UONGO na KUCHAKACHUA. Wakati ukimwaga mwenzako kuwa unaenda kuchakachukuliwa unakuwa umeepuka dhambi ya uongo.
Tuache ushakunaku, udwindwizo na kujibaraguza kuwa waliowawazi ndo wachafu. Tuwe wastaarabu jamani. Atleast hata kusema tunachokifanya. Ninakubaliana sana na mtoa mada.
 
kumbukeni dhambi hutendeka kwa sababu iko moyoni whether uko kimya au unasema unachokifanya.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom