Kila m2 akifanya hv! HIV kwaheri.

inashangaza,hayo mambo yapo,mimi nilidhani ni mambo ya wazungu tu,kwani wao hufanya hivyo sana,kumbe hata na watanzania wanafanya hivyo?si bora muachane tu kila mtu achukue time yake.au ni story ya kutunga?

cyo story kama huamini niPM nikurushie number za wife umwombe mchezo.
 
yan ukickia mlilazimishwa kuoana ndo mambo kama haya yanatoke au hadith 2uu umecopy kwenye filamu za kibongo nini KAMA NDO HVYO KAKA HUJUE HAMJAOANA au nikuulize swali MNAAKILI TIMAMU KWELI?

2napendana sana.2meona 2kifanya hivyo ndio itakua njia y kuzuia kuiba iba mana kuibaiba mbaya bora m2 awe huru.
 
kwnye makubaliano ye2 tigo no kutoa.ila cku akikutana mziki mnene ananiambia ht mimi cfikii.


unajisikiaje akikwambia kwamba haufikii? hauoni kama unajidharirisha na pia unamdharirisha mkeo?:coffee:
 
kwnye makubaliano ye2 tigo no kutoa.ila cku akikutana mziki mnene ananiambia ht mimi cfikii.


unajisikiaje akikwambia kwamba haufikii? hauoni kama unajidharirisha na pia unamdharirisha mkeo?:coffee:

Hiyo kwngu km changamoto nikikutana nae mchakamchaka mpk aseme mwenyewe kw mdomo wake am the best than ol. honestly we are enjoying bana.
 
Asaalam aleykum wanajamv ....mimi na mke wangu 2napenda sana hii nikutokana na mfumo w maisha 2liopendekeza 2ishi.na 2meamua kuishi ktk mfumo huo kutokana na dunia y sasa iliyogubikwa na magonjwa na fumanizi kila kukicha.mimi na mke wangu 2meamua kuwa wazi kila mmoja we2 ruksa kuchakachua nje ilimradi ku2mia jezi(kondom) ...ikitokea cku anaenda kuchakachuliwa aniaga na akirudi aniadisia jamaa alivyompinda wakit mwingine na mimi hivyo hivyo nikienda namuaga nikirudi namcmulia jinsi nilivyokamua.... je ni vizuri au nimechemka.nawaclisha


Duu,ulivyoanza vizuri na hiyo salamu, nikajua kuna jambo la maana, nilipoendelea kidogo nikaona mimi na mke wangu tunapenda sana nikasema afadhali hili linalikuja linatia moyo, achilia mbali kile kichwa cha habari.

Duu nilivozidi kuendele mbele, nikarudi nikatazama jina bahati mbaya nikasikia hasira zimenipata gafla.

Anyway kama unamaanisha hiyo ni tabia yenu wala shetani hayupo msimsingizie. Amueni kuacha au kuendelea lakini ninyi nyote sio wanadamu wa kawaida.
 
duuuuu
sasa hapo unakwepa ngoma au ndo unapokea dear
hizi kondom zinaaminika 99%
hiyo one percent ni kwambwa sana
kama weye kila siku unatoka na kuchakachua nje..

kwa nini tu weye na mkeo msiridhishane..
kuna utamu gani kula pipi kwenye mfuko wake kila siku??

duuhh hizi ndo za siku hizi jamani
zinatia raha..

au hii ndo ile OPEN MARRIAGE???
 
Dunia imefika mwisho Ch......
Nafikiri wewe na huyo mkeo mnahitaji ushauri nasaha maana huu ni ujinga ulipitiliza.
Na wote kama akili zenu si sawa haaa.
Kwa hiyo nyie huwa hamfanyi ngono sio?
NIMECHOKA KABISA
 
Dunia imefika mwisho Ch......
Nafikiri wewe na huyo mkeo mnahitaji ushauri nasaha maana huu ni ujinga ulipitiliza.
Na wote kama akili zenu si sawa haaa.
Kwa hiyo nyie huwa hamfanyi ngono sio?
NIMECHOKA KABISA

Huwa 2nafanya mkuu tena huwa najitaidi kuonesha maubunifu y hali ya juu.
 
duuuuu
sasa hapo unakwepa ngoma au ndo unapokea dear
hizi kondom zinaaminika 99%
hiyo one percent ni kwambwa sana
kama weye kila siku unatoka na kuchakachua nje..

kwa nini tu weye na mkeo msiridhishane..
kuna utamu gani kula pipi kwenye mfuko wake kila siku??

duuhh hizi ndo za siku hizi jamani
zinatia raha..

au hii ndo ile OPEN MARRIAGE???

walioko kwnye ndoa maambukizo ni makubwa sana zaid y hiyo 1%.huoni mi nimepunguza kuliko ukienda kazin ukitoa mguu na wife nae anatoa mguu kuckojulikana.... sa c bora kuambia ili 2we waangalifu.
 
Mtoa mada ni mtoto wala hajaoa katoa kwenye story za movie kaleta hapa jamvini kupima hasira zetu, kama unataka kujua ni mtoto angalia style yake ya kuandika kwa kutumia numbers e.g 2seme, 2tatfika
 
Back
Top Bottom