Kila la heri watoto Darasa la Saba! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila la heri watoto Darasa la Saba!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mhache, Sep 10, 2008.

 1. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2008
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Leo wanafunzi wa darasa la saba wapatao zaidi ya milioni moja wanafanya mtihani wa kumaliza shule. Hii ni hatua muhimu sana kwao. Matokeo ya mtihani huo ndio utakaowapa wahitimu hao mwelekeo wa maisha. Kwani wapo watakaoendelea na masomo na wapo watakao rudi majumbani mwao bila chochote.

  Mimi kama mdau wa elimu ninawatakia mtihani mwema na wenye mafanikio mema. Yapo mambo ambayo yasipoangaliwa yanaweza kuwaharibia matokeo yao. Mojawapo ni kufutiwa matokeo kutokana na kuonyeshwa nitihani na walimu wao au wasimamizi wa mitihani hiyo. Ninaomba walimu na wasimamizi wa mitihani hiyo wafuate sheria na taratibu wasije kuwaharibia watoto wetu matokeo yao. Na watakaobainika wachukuliwe hatua kali za kisheria.
   
 2. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  We wish all standard seven children and relatives of JF members success
   
 3. Tonga

  Tonga Senior Member

  #3
  Sep 10, 2008
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 175
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  I wish them the very best in their exams and the special stage in their lives.
  May God give them strenght, confidence and lead them in a right direction.
  I still remember myself how special that day was.
  God bless all the African children.
   
 4. D

  Dotori JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2008
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 547
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Lakini mmemsikia alichosema Waziri Magembe? Watahiniwa ni kama 1m, nafasi za sekondari ni laki tano. Hivyo kuna hatari ya baadhi kukosa nafasi pamoja na kufaulu vizuri.
   
 5. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Leo huko Tanzania watoto wa darasa la saba katika skuli za msingi mbalimbali za Tanganyika wanafanya mitihani yao wa mwisho wa kumaliza elimu ya msingi.

  nachukua nafasi hii kuwatakia kila la kheir na mafanikio mema,wafanye vizuri na hatimaye wafaulu na kuendelea na skuli za sekondari.

  nawatakia kila la kheir darasa la saba katika mitihani yenu
   
 6. BooSt3D

  BooSt3D Senior Member

  #6
  Sep 10, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 130
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  May The Leading Light Shine On Them Through Critical Thinking and Exams!,

  B.
   
 7. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kila la heri darasa la saba
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,282
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  mungu awatangulie wanangu!
   
Loading...