Kila la Heri Ivona Kamuntu

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,146
13,216
Namjua kwa kiasi kidogo sana huyu binti lkn niwe muwazi kwamba ninaiona nyota ya Mtangazaji huyu wa Star TV iking'aa kwani anaonesha ana kipaji cha pekee, KILA HERI IVONA
 
photo.jpg
amesheheni uchambuzi wa hali ya juu na anaonekana kuwa na weledi wa mambo
 
Namjua kwa kiasi kidogo sana huyu binti lkn niwe muwazi kwamba ninaiona nyota ya Mtangazaji huyu wa Star TV iking'aa kwani anaonesha ana kipaji cha pekee, KILA HERI IVONA
Fafanunua kivipi
 
Ana pozi za kitoto halafu anajiona kama keshakuwa staa. Mbaya zaidi anapenda kujiweka humu kupitia ID hizo za kina amavubi kupima watu wanamchukuliaje. Ukweli ni kwamba kwa mbwembwe hizo huwezi fika popote.waliofika mbali hawakutumia njia za kitoto kama hizo. Usidanganywe na watu kama unataka kufika mbali kwenye hiyo taaluma piga mzigo usidanganywe wewe kwa sasa ni wa kawwaida sana japo unaweza fika mbali ukiacha mbwembwe na mashauzi ya kubinuabinua midomo as if unamtangazia mumeo tu hapo kwenye tv..
 
Hii maneno ni ya ukweli kabisa.mie pia namuona ana mashauzi sana.kifupi sioni weledi wowote alionao zaidi ya kujishebedua akiwa anatangaza.
 
naona ivona mwenyewe kaamua kuja na thread ya kujinadi,ni vizuri maana bosi wako nae huwa anapitapita humu
 
Hahahahhaha Jamani mbavu zangu miye ! Watu hawadanganyiki hata hivyo ukisubiri kusifiwa utasubiri sana ....acheni atumie Fursa Mkamtangazeee :rolleyes:
 
Back
Top Bottom