Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 908
Jamaa mmoja kaoa mwanamke wake kutoka kijijini, siku hiyo kafungua nyumba yake mpya, kazindua gari lake jipya na wakati wa kufanya tendo la ndoa akavaa condom, basi yule mke wake akawatumia message kwao na kuwaambia mumewe ana kila kitu kipya mpaka nanii.......yake bado uko ndani ya makaratasi yake!