Naenda dukani nakuta sukari bei juu>>Naenda kituo cha mafuta,mafuta nayo bei juu>>Naenda stendi kuu ubungo,nauli nazo juu>>Kama haitoshi vile naenda kwa bosi ofisini.........naambiwa mshahara wangu nao juu,dah sijui itakuwaje mwaka huu,kila kitu juu!