Kila kitu hapa duniani ni mahesabu ty

Kila kitu hapa duniani ni mahesabu ty

Mangi shangali

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
528
Reaction score
822
Nakupa salamu sasa,je mnzima wewe??

Mangi shangali..

HESABU ndo kila kitu duniani, chochote kili chopo duniani kipo kimahesabu. Kipindi tukiwa shule ya msingi walimu walitusisitizia sana hesabu,tena tulichapwa fimbo nyingi sana sababu ni hesabu..

Ebu tuingie deep sana:

DUNIA:=..ilipoumbwa hesabu ilitumika sana uwepo wa hewa,maji,na kila kitu kilichopo duniani kipo kimahesabu.

Mpaka ujenzi kuisha inatumika hesabu kwanzia msingi mpaka paa,kwanzia mchanga mpaka cement inatumika hesabu,nondo mpaka,kila msumari utakao tumika kipo kimahesabu zaidi,nyumba mpak kuisha inatumika hesabu ukipunguza au kuzidisha utaharibu vipimo.

Siku zipo saba
MUNGU alifanya kazi siku 6 siku ya 7 akapumzika

Dunia ina mabara saba

Wachezaji wote wanaovaa namba 7 wanamafanikio makubwa.

Kika kitu duniani ni namba na hesabu.

Kunywa bia kadhaa ukizidisha hatari hapo inatumika nini hesabu.

Piga bao 3 ukizidisha unajichosha hapo inatumika hesabu.
Binadamu unatakiwa ulale masaa 8
Chakula kwa siku unatakiwa ule mara 3 yote hayo hesabu.

Kuna watu duniani hawawezi kufanya jambo lolote mpaka waangalie masaa,siku na tarehe husika.
Hata maisha ya kawaida usipo kuwa na hesabu utajikuta upati mafanikio yeyote,ela unapotumia tumia kimahesabu usihonge sana,usilewe sana kila kitu fanya kimahesabu.

Unapokuwa na mahusiano na mtu tumia hesabu,usimpende sana maana siku akikuacha utaumia.
Hata kula chakula unatakiwa ule wastani ukizidisha tumbo litakuuma hapo imetumika nini hesabu.

Yani chochote unachokifanya bila hesabu utafanikiwa,anza leo kufanya kila kitu kwa hesabu.

Sijui kama nimeandika vinzuri ila nimetumia hesabu nisiwachoshe kusoma sana.

Mangi shangali..
 
Back
Top Bottom