W wakitei Member Joined Jul 18, 2011 Posts 77 Reaction score 4 Sep 27, 2011 #1 police wameua watu arusha wakasema : Ni bahati mbaya;wakaua Nyamongo wakasema Ni bahati mbaya : wakaua Tabora wakasema "Bahati mbaya "wakaua Mbalali wakasema : bahati mbaya umeme hdarura isiyoisha bahati mbaya umekatika mwanza siki sita usiku na mchana wakasema Bahati mbaya tumechoka kila siku bahati mbaya nawuliza lini itakuwa bahati nzuri ?
police wameua watu arusha wakasema : Ni bahati mbaya;wakaua Nyamongo wakasema Ni bahati mbaya : wakaua Tabora wakasema "Bahati mbaya "wakaua Mbalali wakasema : bahati mbaya umeme hdarura isiyoisha bahati mbaya umekatika mwanza siki sita usiku na mchana wakasema Bahati mbaya tumechoka kila siku bahati mbaya nawuliza lini itakuwa bahati nzuri ?
S STIDE JF-Expert Member Joined Sep 1, 2011 Posts 997 Reaction score 351 Sep 27, 2011 #2 Ukitaka kupata "bahati nzuri" chagua CDM 2015!!
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,704 Sep 27, 2011 #3 wasomi mwandikieni okampo aje huku tz la sivyo tutamalizika.
feis buku JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 2,341 Reaction score 677 Sep 27, 2011 #4 Vigeugeu! Paka wangu kigeugeu,bosi wangu kigeugeu,bibi yangu kigeugeu,dereve wangu kigeugeu!!wananigeukia!!
Vigeugeu! Paka wangu kigeugeu,bosi wangu kigeugeu,bibi yangu kigeugeu,dereve wangu kigeugeu!!wananigeukia!!