Nipo kwenye wakati wa kumuomba mungu ainusuru nchi yetu na FISADI papa...
Peleka siasa zako za chuki kule kwenye majukwaa yenu ya siasa
Nipo kwenye wakati wa kuomba Mungu aniinue kiuchumi
Amina unaweza ukanishilikisha kwenye maombi yako kama hautojali ili tuweze kumsihi na kumkumbusha Mungu kwamba baraka na utajili ni haki yetu kwani si kusudi la Mungu mwanadam kuishi katika umasikini wa kutupwa
Nipo kwenye wakati wa kuomba Mungu aniinue kiuchumi
Nitafute nikupe upako
We nshakuomba kamzizi ukabana najipanga kuja kukurubuni unipe
Niko katika wakati wa kumuomba mungu anipe furaha ya milele....