Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,983
Wale wa kale mtupishe kwanza msijeanza kung'ong'a na maneno yenu eti ooh haiwezekani kupata jiko (mke/mume) muruwa huku mitandaoni.
Tunawaambia kwa sauti kuu hilo linawezekana tena sana tu. Maana saivi kila mtu anashinda huko mitandaoni.
BTW jF nao si mtandao au[emoji848]?
Dunia imeshapiga hatua sana.
Mtandaoni unapata kila kitu pamoja na wenza matirio.
Bila maneno mengi, mdau tiririsha vigezo vyako hapa
[emoji116][emoji116]